Tuongee asubuhi Star Tv 23.01.2016 jicho letu ndani ya habari

Fisadidagaa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
962
235
Huwa si mshabiki wa kuangalia vipindi vya star TV,leo katika pitapita za kusaka kipindi nikajikuta nasimama star TV,hasa mjadala unaoendelea kuhusu kufungiwa vyombo vya habari {Magazeti}.
Naona leo Star Tv wameingia choo cha kike kuwaalika hawa wachangiaji {Mhadili Mlajili Kapoko na Edwin Soko},maana leo Doto amebananishwa vibaya,kila Angle anayogusa kuitetea Serikali jamaa wanamdhibiti anahama.
Hongera sana M.Kapoko na E.Soko kwakuwa wazarendo.
 
Huwa si mshabiki wa kuangalia vipindi vya star TV,leo katika pitapita za kusaka kipindi nikajikuta nasimama star TV,hasa mjadala unaoendelea kI uhusu kufungiwa vyombo vya habari {Magazeti}.
Naona leo Star Tv wameingia choo cha kike kuwaalika hawa wachangiaji {Mhadili Mlajili Kapoko na Edwin Soko},maana leo Doto amebananishwa vibaya,kila Angle anayogusa kuitetea Serikali jamaa wanamdhibiti anahama.
Hongera sana M.Kapoko na E.Soko kwakuwa wazarendo.

Nimependa sana hoja za Mlagiri Kopoka.Huwa nasoma article za huyu jamaa kwenye The Citizen huwa zinanivutia sana na sikuwahi kujua kama ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu!Jamaa yuko vizuri na hoja zake zina mashiko.Big up Kopoka.
Mwendesha kipindi Doto Emmanuel Bulendu hakika anaboa sana.Sijui ana maslahi gani ndani ya serikali ya CCM! Doto amekomaa kutetea SHERIA KANDAMIZI ya magazeti ambapo Waziri mwenye dhamana anaamuka asubuhi kalala na mkewe na kanyimwa unyumba anakuja kumalizia hasira zake kwa kuifungia media(gazeti,TV,radio)kwa vile media ile imeandika au kurusha eti habari yenye ukakasi!
Tumeshuhudia Waziri Nepi akitumia sheria hii mbovu kulifungia MAWIO eti milele!!!!Hivi kuandika habari za Zanzibar kuwa baada ya Jecha wa Jecha kufuta matokeo ya Uchaguzi kunaweza kusababisha Umwagikaji wa Damu kuna kosa gani hapo?
 
Doto yuko poa sana!ni kati ya vipindi bora kabisa vya runinga tz!Jamaa huwa analeta watu ambao wanafahamija kW utata ili watetee hoja!
 
Naona watu wanamlaumu Dotto pasipp kumfahamu vizuri. Mara nyingi dotto yeye anakuwa mchokoza mada akishagundua wageni wake wapo +ve yeye anaenda -ve na mkiwa -ve yeye anaenda +ve.

Sasa wote mkiwa upande mmoja hicho kitakuwa kipindi cha uchambuzi au malalamiko?

Dotto huwa ni mchokonozi
 
Ingekuwa enzi ile huu uzi ungeenda mbali.Lakini tu Star tv siku hizi hatuangaliwi.Ni kama Tu Tbc
 
Huwa si mshabiki wa kuangalia vipindi vya star TV,leo katika pitapita za kusaka kipindi nikajikuta nasimama star TV,hasa mjadala unaoendelea kuhusu kufungiwa vyombo vya habari {Magazeti}.
Naona leo Star Tv wameingia choo cha kike kuwaalika hawa wachangiaji {Mhadili Mlajili Kapoko na Edwin Soko},maana leo Doto amebananishwa vibaya,kila Angle anayogusa kuitetea Serikali jamaa wanamdhibiti anahama.
Hongera sana M.Kapoko na E.Soko kwakuwa wazarendo.
My favourite Star tv program; natamani wangeshirikisha watazamaji interested wachangie; kingenoga sana sana; a big up Dotto Bulendu; na pole kwa ngarambe ya leo; jamaa wamekubana sawasawa!
 
QUOTE="Mtaka yote, post: 15157953, member: 262039"]kipindi bora kabisa[/QUOTE]
Kipindi hiki kilikuwa enzi zike za YAHAYA MOHAMEDI,siku hizi ni bule kabisa nilishakisahau kitambo
 
Back
Top Bottom