Recent content by Tariq boy

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Waziri Mkuu anaweza kumwamuru IGP kumkamata mtu?

    The boss naomba kuuliza hivi kamishina wa tra,tfd,elimu na makamishina wote kwenye idala wanakuwa sawa na wale makamishina wa polisi mfn kova mpinga na wengine. Manaake nimeona wazir akimwambia igp amkamate bashe wakati kova yupo je kova hana uwezo wa kumkamata kamishina yoyote.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Matamko yako mengi sana lkn nchi hii wapinzan watamwaga dam sana ila wajitahidi kutoa matamko ya kielimu,kiraia ili sanduku la kura liwawajibishe watawala. Naamini baada ya magufuli wapinzani ndani ya miaka kumi kupita wanaiangusha ccm, matamko yatapoteza ladha ya ccm kukabidhi nchi tuwe wavumilivu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Hivi unawezaje kuchukua madaraka kutoka kwa watawala wa nchi za africa kwa wepesi namna hiyo.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Ninayo ila jibu swali langu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Kieleweke nn?
  6. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA kususia Bunge la 11 linaloanza Jumanne ijayo!

    Kichwa kitakuuma kwa uzururaji wako na utambuzi wa mambo.
  7. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA kususia Bunge la 11 linaloanza Jumanne ijayo!

    Hivi kuna mbunge hata enda bungeni? Kama kuna mbunge hata enda bungeni mnijihadi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndiye nahodha wa mikakati ya wizi Serikalini

    Ukweli mtupu huu nchimbi aliingia bungeni kwa kupitia rostam, tena mzee gama alitolewa jasho kweli pale songea rostam akiwa pembeni.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Sita au nchimbi mwisho
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Lizaboni ndugu gama namjua vzur hamna lolote tena hakuna watu vilaza kama watu wa songea na ruvuma nzima. Toka ameondoka Gama mkubwa na kawawa hakuna kiongozi nchimbi bule komba ndio usiseme manyanya ndio kabsa bora jenista muhagama
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wosia wa mwisho kwa vijana wa Kitanzania

    Tuliambiwa tusilinde kura sasa leo nn kinatokea? Mbona mnatoka povu sana mlisema lowassa rais wa nchi ipi labda rais wa boda boda tuache utani huyu mmasai katupwa mbali sana.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa - Shujaa wangu

    Dunia inavituko!!!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!

    Arusha ilikuwa chini ya ccm baada ya edo kuama ccm arusha Kilimanjaro yote cdm sio kama wameangalia ndugu yao.
Back
Top Bottom