Recent content by Targaryen

  1. Targaryen

    Jana nimeacha rasmi kununua dada poa

    wewe kinyaaa ila hao hao ambao wanaopiga malaya ndio unakuta wanapiga mkeo au demu wako kimya kimya
  2. Targaryen

    Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

    Tatizo vijana wa 2000 wanawezaje kumjua Sugu wasamehee tu
  3. Targaryen

    Nimeamini pesa zinanukia

    Nimekaa muda bila hata dusko nimepambana wapi ila nimepiga deal langu moja nimevuta kama 10m sasa bila hata kumwambia mtu naona washkaji wananipiga mizinga. Mademu wa zamani wananitumia msg za kuni miss, ndugu nao wanapigia kila wakati kunisalimia hapa ndio naamini pesa zinanukia aiseee
  4. Targaryen

    Ex kakutwa ni HIV Positive je PEP itamuokoa?

    Habari wadau Baada ya miaka 4 hajaonana na demu wake jamaa kakutana na Ex wake week moja imepita jamaa alimwandaa demu na kupiga denda kila kitu cha mahaba ila akakumbuka hana kondom ila anatembea na boksi la vipimio vya ukimwi Basi akastop akamwambia demu wapime demu kakubali wapime wote...
  5. Targaryen

    Sijivunii wazazi wangu

    Pambana ushakuwa mtu mzima wewe wazazi washamaliza kazi yao hadi hapo ulipo
  6. Targaryen

    Kuna kijana nimemuonya mara mbili aache kuhatarisha mahusiano yangu hasikii, nimfanye nini?

    Uyu atakuwa mkeo ila unaleta kwa gia ya mchepuko kikubwa hapo huna mwanamke na umesema utaki kumuacha basi sharing is caring
  7. Targaryen

    Msala ambao siwezi usahau kamwe

    Mimi nilikuwa na kidemu flani amazing sana kimefungashia hatari kitoto cha form 3 mimi nipo chuo, mwaka wa kwanza, nikua nimepanga jirani basi kila usiku kinakuja napiga kinasepa mwanzo nikua natumia kondom mara kukazoea nikaanza kavu Basi siku moja rafiki zake wakaja wakanikuta nimetulia zangu...
  8. Targaryen

    Am I wrong if I process divorce?

    Break the chain of slave and be free
  9. Targaryen

    Mwalimu adaiwa kumpa mimba mtoto wa mwalimu mwenzake

    Watoto wa kike warudi shuleni wakishajifungua hii ni kwa faida ya mwanafunzi, mzazi na taifa kwa ujumla hakuna sababu ya maana yakuzuia watoto wasisome endao wamejifungua
  10. Targaryen

    Ushauri: Nahisi mchumba wangu ana mahusiano na wanaume wengine

    Tafuta mke wa kuoa achana na utopolo huo
  11. Targaryen

    CWT wameishiwa ubunifu, Mei Mosi kuvaa sare inayoendana na ya TLP

    Ifikie muda sasa walimu wawe na profesional body ya kuwasajili na watambulike kama profesional zingine
  12. Targaryen

    Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

    Hakuna anayebadili tabia sema unaanza kuona uhalisia wao
Back
Top Bottom