Ex kakutwa ni HIV Positive je PEP itamuokoa?

Targaryen

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
675
640
Habari wadau

Baada ya miaka 4 hajaonana na demu wake jamaa kakutana na Ex wake week moja imepita jamaa alimwandaa demu na kupiga denda kila kitu cha mahaba ila akakumbuka hana kondom ila anatembea na boksi la vipimio vya ukimwi

Basi akastop akamwambia demu wapime demu kakubali wapime wote hapo hapo, majibu demu ana ngoma na jamaa mzima.

sasa jamaa amechanganyikiwa sababu kala demu denda na demu kamnyonya sehemu za siri japo hakugonga

imepita week sasa tukio litokee je anaweza kutumia PEP akapona?
 
Hapo keshapiga tayar yeye ndio anywe
1. Anywe kabla ya masaa 72

2. Ila kupata hizo PEP mchakato wake Lazima adhalilike Kwa manesi watamchamba mpaka ajute.

3. Niliwahi kupiga demu kavu Ile kimasikhara kwenye gari, chap nikaenda Palestina aisee huo mchakato balaa.....Lazima upime.....semina elekezi na HIV+ kwenye group kuubwa...kisha ndo upewe dozi za siku 28.
 
Gwegwe hauwezi kupata kwa denda,labda kama anyone mate ndoo nzima,na haiwezekani,aache uoga kama kweli hakauza mechi
 
Habari wadau

Baada ya miaka 4 hajaonana na demu wake jamaa kakutana na Ex wake week moja imepita jamaa alimwandaa demu na kupiga denda kila kitu cha mahaba ila akakumbuka hana kondom ila anatembea na boksi la vipimio vya ukimwi

Basi akastop akamwambia demu wapime demu kakubali wapime wote hapo hapo, majibu demu ana ngoma na jamaa mzima.

sasa jamaa amechanganyikiwa sababu kala demu denda na demu kamnyonya sehemu za siri japo hakugonga

imepita week sasa tukio litokee je anaweza kutumia PEP akapona?

Pole sana
 
Masaa 72 yalishaisha...japo kwa denda aio rahisi sanaa
Asee PEP zinajua kukeraaa si kitoto...
Ni basi tu kwamba huwa tukishalowa basi akili zinahama....
Bora kupima labla ya lolote.
 
Habari wadau

Baada ya miaka 4 hajaonana na demu wake jamaa kakutana na Ex wake week moja imepita jamaa alimwandaa demu na kupiga denda kila kitu cha mahaba ila akakumbuka hana kondom ila anatembea na boksi la vipimio vya ukimwi

Basi akastop akamwambia demu wapime demu kakubali wapime wote hapo hapo, majibu demu ana ngoma na jamaa mzima.

sasa jamaa amechanganyikiwa sababu kala demu denda na demu kamnyonya sehemu za siri japo hakugonga

imepita week sasa tukio litokee je anaweza kutumia PEP akapona?
Denda risk ni almost zero. Ila ameze tu PEP kwa tahadhari.
Tatizo PEP hazipatikani kirahisi, mpaka uende hospitali uchorwe sana, zingeuzwa madukani kama vipimo vyenyewe tu
 
Ha ha ha ha Ila Kama mzima walausihofie kwenda kuchoreshwa we nenda data utaratibu utapewa mwenyewe nshapewaga enzi hizo sema ndo noma noma
 
Back
Top Bottom