Recent content by Tape measure

  1. Tape measure

    Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

    No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election...
  2. Tape measure

    Je wajua kwamba Yesu alitaja jina "AHMAD" ambae ni (Muhammad saw) kama mkombozi wa ukweli wa yahudi ?

  3. Tape measure

    Dkt. Gwajima: wanawake wameitika, hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea bali maonesho ya wajasiriamali

    No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election...
  4. Tape measure

    Yesu ambaye ndiye Role Model wetu Wanaharakati naye alipewa Kesi ya Kisiasa kama Lissu

    No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election...
  5. Tape measure

    Je wajua kwamba Yesu alitaja jina "AHMAD" ambae ni (Muhammad saw) kama mkombozi wa ukweli wa yahudi ?

    No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election No reforms, No election...
  6. Tape measure

    Jinsi nilivyopata $50k Grants & TSH 200ml revenue

    Hongera sana madam kwa mapambano, hizi hustles zipo sema wabongo bado tupo nyuma sana kwenye mambo ya kufungua startups, NGO,s, biashara za kushirikiana. Graduates wanakuwa wajinga hawataki kuunganisha mawazo wanajadili upuuzi, udaku, mpira, wasaniii...... Mwaka huu TEF wametoa 5000$ kwa...
  7. Tape measure

    Ujue mmea wa datura, mnanaa au tarumbeta ya wachawi

    Hiyo mimea imejaa sana maeneo ya mto wa mbu Arusha ila kuamini Kila alichoandika mtoa mada ni ukichaaaaaàaaaaaaaaaaaaa. Datura stramonium ni mmea vamizi unapigwa vuta sana na wana mazingira
  8. Tape measure

    Je, kuna Mtanzania anaingiza kipato kutokana na Teknolojia hii ya Artificial Intelligence?

    AI imeniingizia pesa nyingi sana naitumia tokea 2022 kuna jamaa alisubscribe kipindi kile ulikua unapata life subscription kwa laki tu. Sijui nisemeje kuhusu faida za AI maisha yangu yamekuwa rahisi sababu ya AI na imenipa ushindi mara nyingi sana. Kuna vitu ingenigarimu miaka ata 6 kufanikisha...
  9. Tape measure

    Naomba ushauri nisome programming language gani?

    Mtu kusema AI can't replace human being ni kushindana na kimbunga. AI inapunguza demand ya wataalamu na inafanya mambo mengi kwa sekunde chache kitu ambacho ungepambana miezi kadhaa AI itakuongoza kufanya kwa siku moja au masaa kadhaa kuendena na ujuzi wako wa kuweza kuicommand. AI imebadili...
  10. Tape measure

    DOKEZO Baadhi Watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo(ASA) walalamika kuwa hawalipwi posho

    Huu ni upumbavu Zekoddo watumishi badala ya kujiunganisha na kufuata taratibu za kudai haki zenu ikiwa ni pamoja na migomo moto na baridi mnakuwa wanafiki mnatakiwa msipate ata mshahara kabisa ili akili zikae sawa ndio kusema mlienda shule kusomea ujinga. Mijiti inaona mwezao anatekwa hamtoi...
  11. Tape measure

    ‘Kataa Ndoa' Inavyotishia Maadili ya Familia na Jamii: Mabadiliko ya Kijamii Duniani ya Athari Zake

    Tatizo la upungufu wa nguvu kazi linazidi kuwa kubwa duniani, na halikuwa tatizo la ghafla bali linatokana na mabadiliko ya kijamii na kisiasa ambayo yamekuwa yakijitokeza kwa muda mrefu. Kwa mfano, Urusi mwaka huu 2024 imeanzisha sera za kutoa motisha kwa wanawake kuzaa watoto, ikiwa ni pamoja...
  12. Tape measure

    Maisha ya Ulaya ni Magumu Sana Vijana Wenzangu tupambaneni kutafuta Pesa

    Ulaya ni kugumu lakini hakufanani na bongo ni Giza na Maji kwanza ni dhambi na haramu kufananisha ulaya na Tanzania. Ni kama kufananisha mlima na nyumba au bahari na gari vitu haviendani kabisa. Ulaya hata ukiwa huna mia mfukoni usalama wa maisha yako na huduma za afya, na uhuru wako ni mkubwa...
  13. Tape measure

    Betting ilivyokwenda na milion moja yangu

    Nilichoshangaa Korea na Japan wanaobeti ni wazee kuanzia 55+ nimeingia betting clubs vijana wanahesabika tena ni above 35 na wanamaisha wanajua nini wanafanya na sehemu za betting zina ulinzi mkali kuzidi ata Bank 🏧. Kwa mtazamo wangu betting ingefanywa kuwa mchezo wa MATAJIRI na wasomi...
  14. Tape measure

    Betting ilivyokwenda na milion moja yangu

    Betting sio kazi nimefanya forex nikaacha. Betting na forex zinataka watu wenye uhakika wa kula na kuishi yaani wanaiweza kusaidia wengine. Just imagine hapo ukiwa na njaa utaona 2m ni nyingi so hutokaa uweze kusubiri mkeka ushinde mamilioni same to forex inahitaji kuweka order unayomudu...
Back
Top Bottom