Recent content by Tao

  1. T

    JamiiForums Tanzania Watekaji wanamharibia Rais Samia pamoja na kazi hizo nzuri anazozifanya

    Dr Samia Suluhu Hassan tokea alipoapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli amekuwa akifanya kazi kubwa sana katika kuijenga Tanzania mpya huku akionyesha uwezo na ujasiri mkubwa katika kulinda maslahi ya taifa. Rais anaijenga Tanzania mpya ya watu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna kamanda wa Hamas aliyeuawa Gaza wala Syria

    uko sawa?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa viwanda unawezekana zaidi chini ya uongozi wa Serikali ya awamu ya sita

    Na Otieno Peter Baraka Sote tunajua kuwa ilikuwa ni ndoto ya Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kwa kuwa na viwanda vidogo,vya kati na vikubwa,Hayatti Dr John Joseph Pombe Magufuli aliinadi sana sera hii na tulivutiwa nayo kwani tuliamini kuwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

    Leo hii tarehe 29 July 2024 Mzee kinana amejiuzuru nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara. Abdulrahman Kinana ni miongoni mwa viongozi mahiri waliowahi kutokea katika historia ya CCM na alifanya kazi kubwa sana ya kukiimarisha wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 hivyo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania CCM ina tatizo la kuwa-brand watu wasio na uwezo.

    Ndani ya mfumo wa CCM na hata serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamejazana viongozi/watendaji wasio na uwezo na hii inatokana na kutokuwepo vetting system inayoeleweka. Huwezi kujenga taifa Bora kama hauna vetting system.sisi hata vetting system hatujui maana yake. Sifa pekee ya...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

    Mwenyezi Mungu muumba wa Mbingu na Nchi ampe ulinzi wa Malaika
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?

    hakuna presidential material hapo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rorya wamemkataa Jaffari Chege

    Mbunge wa sasa wa Rorya ndugu Jaffari Chege yuko kwenye wakati mgumu kisiasa kutokana na wananchi wengi wa Jimbo hilo kumkataa hadharani,hii inajidhihirisha wakati huu anapozunguka maeneo mbalimbali humo jimboni kwenye mikutano ya hadhara. Uchunguzi unaonyesha Jaffari atakuwa miongoni mwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania TK Movement kosa lao nini?

    TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi. Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa wakipotosha malengo ya vuguvugu hilo huku baadhi yao wakidai Tk movement inaingilia shabaha za Umoja wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashe ni tishio kwa wasaka Urais 2030

    Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua kwenye mitandao ya kijamii. Unapoona Kigogo anamchafua Bashe ujue ni sehemu ya mkakati huo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Pumzika kwa Amani Edward Ngoyai Lowassa

    Nimeikuta mahali
  12. T

    JamiiForums Tanzania Pumzika kwa Amani Edward Ngoyai Lowassa

    Mhe Laigwanan. tumekupumzisha katika nyumba yako ya milele lakini kama mfuasi mwaminifu wa Bwana wetu Yesu Kristo tuna imani utafufuliwa mnamo marejeo ya Kristo parapanda itakapolia Tanzania imempoteza kiongozi shujaa,mzalendo wa kweli,mchapa kazi ,mcha Mungu na kiongozi jasiri na asiyependa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa mataifa yaliyoendelea hawana titles kama zetu?

    Afrika Luna watawala.siyo viongozi. wanapenda kutukuzwa katika kila jambo kwa namna ambayo ni vigumu kuelezea
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anaandaliwa Urais 2030?

    afterall Mungu ndiye anayejua
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anaandaliwa Urais 2030?

    kwa mahesabu ya kawaida haitawezekana. Mama ni Muslim na yeye ni Muslim.kwa mfumo wa nchi hii Rais wa 2030 atakuwa Mkatoliki
Back
Top Bottom