Wandugu yalinikuta, mtu alisema kishaachana na mtu aliekua naye afu wiki chache baadae ananitumia msg mie ya kumwambia huyo x kwamba amechoka waachane,,mie :confused2: ,,afu akatuma msg ati hiyo sio msg yako...hahaaa watu jamani mmh...nikashukuru mungu nikamrudishia hiyo msg yake afu nikamwambia...