U-best mwingine?!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
wadau,katika utu uzima huu, hivi unaweza kuwa na rafikiyo, best yako wa hali na mali, mnashirikiana kwa kila kitu...... HADI KWENDA KUKOGA PAMOJA BAFUNI?!:A S 39:
Mbona hainikai vema akilini hii!!
 
kwa wanawake ipo hiyo....

but kwa wanaume mkioga pamoja,yawezekana mmoja
ni mke wa mwenzie.....

mimi naoga na wake zangu tu.....
 
mie hiyo kitu haipo kwangu ......................ushoga una limit na moja ni hiyo :)
 
hiyo too much kwa upande wangu,siwezi kuoga na mtu mwingine zaidi ya laazizi wangu tu.
kwa wanaume inatia shaka kidogo.
 
Cheusimanagala kwa hii bodi strakcha hata ukioga na best wa jinsia yako lazima akubake tu!:A S 8::A S 8::becky::becky::becky:
 
wadau,katika utu uzima huu, hivi unaweza kuwa na rafikiyo, best yako wa hali na mali, mnashirikiana kwa kila kitu...... HADI KWENDA KUKOGA PAMOJA BAFUNI?!:A S 39:
Mbona hainikai vema akilini hii!!

Hebu fafanua umeona wanaume wanaoga pamoja? hapo kutakua na mushkeli kama ni marafiki zako waupuke utaonekana nawe ni mwenzao. Halafu huyo mtoto kwenya Avatar mbona ana hasira hivo?
 
Mbona huko kwetu MWALONI tunaoga kibao tu,nakumbuka mshikaji mmoja hakuwa na zile NYWELE za chini kaulizwa vp mzee mbona chini hamnako akajibu eti kanyoa jana maana kwake ilikuwa anavizia watu waondoke then ananyemelea alone...Nyie watoto wa mijini MANDE ya kuoga mtaipigia wapi?Wazee wa camp enzi zetu MANDE NDO fasheni wakati wa kuoga
 
kiongozi kuna tofauti ya kuoga mkiwa wengi na kuoga wewe na best yako tu................................!
 
Hebu fafanua umeona wanaume wanaoga pamoja? hapo kutakua na mushkeli kama ni marafiki zako waupuke utaonekana nawe ni mwenzao. Halafu huyo mtoto kwenya Avatar mbona ana hasira hivo?

namaanisha rafiki na si mwenza... rafiki best yako wa JINSIA MOJA!! mtot ana hasira... choka mbayaa..life gumu!!
 
Mbona huko kwetu MWALONI tunaoga kibao tu,nakumbuka mshikaji mmoja hakuwa na zile NYWELE za chini kaulizwa vp mzee mbona chini hamnako akajibu eti kanyoa jana maana kwake ilikuwa anavizia watu waondoke then ananyemelea alone...Nyie watoto wa mijini MANDE ya kuoga mtaipigia wapi?Wazee wa camp enzi zetu MANDE NDO fasheni wakati wa kuoga

Nimioga na kuogelea ziwani... madimbwini.. hata boarding skuli....!! URAIANI huko tunakopanga foleni bafuni.... ndo unazama na best yako mkakoge.... binafsi ni pagumu hapo!!
 
Kweli unainama kuchota maji na mwenzio anaona kila kitu mwaaaaa...........ubest gani huo:playball:
 
Back
Top Bottom