Recent content by Tanzanite klm

  1. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusaga unga Dar

    HAIWEZEKANI KUKUTUMIA DM, MAHINDI NACHUKUA MANZESE, NINA MSIMAMIZI, JENGO KUKODI
  2. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusaga unga Dar

    Habari za saa hizi wataalamu. Nina mashine ya kukoboa na kusaga. Rolla tatu, mota 30hp zote mbili. Toka nianze hii biashara sijapata faida. Naomba ushauri kwa walio kwenye hii game muda mrefu. Nifanye nini niweze kunufaika na hii biashara?
  3. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Sijamuona mke wa Askofu Jonathan Shemhambu kwenye tukio mazishi yake

    RIP Jonathan
  4. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya unapokuwa na changamoto ya Bawasiri

    Namshukuru Mungu baadhi wamenipa mrejesho inbox kwamba wameanza pata nafuu kubwa bila kutumia garama yoyote ila baada ya kubadili mfumo wa lishe. Mungu aliumba miti, miche, na mimea yote na mazao yake kwa ajili ya kutusaidia sisi wanadamu.
  5. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya unapokuwa na changamoto ya Bawasiri

    Habari ndugu zangu nawasalimu sana. Bawasiri ni tatizo linalowasumbua watu wengi na wengi wetu tunauchukulia kama ugonjwa wa aibu kutokana na eneo lenyewe linalo athirika. 1. Bawasiri ni matokeo ya kuathirika kwa mfumo wa chakula 2. Mmengenyo wa chakula unapokuwa mbaya na ivyo kinyesi katika...
  6. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Kiundwe Chama cha Watu Wenye Akili Tanzania

    Michango ni mizur sana. soon tunasajili
  7. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Hybrid cars

    Moderator naomba uachwe uzi huu kupeana elimu sahihi juu ya EV na hybrid cars. Kulinda mazingira na kuokoa garama kubwa za mafuta dunia sasa inaenda kwenye magar ya hybri na umeme. Hybrid owners tuwe na jukwaa letu. Tumeane elimu, uzoefu na utatuzi wa changamoto mbalimbali
  8. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Prius/Aqua Forum Tanzania

    Hybrid owners mje inbox niku add.
  9. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Prius/Aqua Forum Tanzania

    dsm
  10. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Prius/Aqua Forum Tanzania

    Wananzengo za asubuhi. Wale tunaomiliki Prius/ Aqua tujuane. Tuambiane na kusaidiana changamoto za mazuri kwenye gari zetu kwa wanaomiliki na kuwapa hamasa ambao bado hawajamiliki wakaribie wafurahie 20km/l Tutafungua telegram chanel yetu kwa watakao kuwa interested waje inbox ni wa add
  11. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba alitoa shamba Kama sadaka kanisani, familia tunataka kulirejesha tuanzie wapi?

    Mimi nimekataa mali za baba yangu nyingi kwa utashi wangu na kumwambia awape wadogo zangu zote. najisikia mwepes na nina amani sana. mali zangu nitawapa wajukuu zangu, watoto nawapa misingi imara nao watafute za wajukuu zao. Miradhi inarurisha maendeleo nyuma. Tutafute mali kwa jasho na bidii...
  12. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba alitoa shamba Kama sadaka kanisani, familia tunataka kulirejesha tuanzie wapi?

    Sihitaji kusoma uzi wote ila cha muhimu TAFUTENI MALI ZENU. MTU HAPANGIWI MALI ZAKE AMPE NANI. Iyo ni kafara alitoa kwa utashi wake. Pengine hayo mashamba ya baba yenu mlinunua wote?.
  13. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

    Ni changamoto hawa mabinti wadogo. Bora kutafute mwenye 35+ na awe na mtoto uishi naye. ila all in all tunasubiri Humanoid robots tununue maroboti ya kufanya kazi za nyumbani. Binadam hata umfanyie vipi huwez mridhisha. Roboti Eunice atatufaa
  14. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Kulingana na Kipaji chako Ungeshinda Mchezo gani Olympics?

    Siwez shiriki mashindano ya mashetani ambao kazi yao ni kukufuru kila uchwao
  15. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Mitsubish outlander roodest vs extrail T31 zote za 2010. Nichukue ipi?

    Kwema wataalamu. Naombeni ushauri nichukue ipi kati ya izo gari mbili yaani nissan extrail T31 na outlander roodest? Kwa kuzingatia reliability na durability.
Back
Top Bottom