Recent content by Tanzanite Digital Agency

  1. Tanzanite Digital Agency

    Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Kama ni ww basi uko vizuri, ila kama ni chatgpt nitumie hiyo prompt 😅
  2. Tanzanite Digital Agency

    Jinsi Ya Kuanza Digital Marketing 2023, Anza Leo Fursa Hii Ya Mtandaoni

    Digital Marketing - moja ya mada zinazotajwa sana haswa katika fursa za mtandaoni. Wafanyabiashara wengi wanasifu kuwa ni njia muhimu sana katika ukuzaji wa biashara. Kitu ambacho vyuo vingi vimeanza mafunzo ya kozi za digital marketing, lakini hii haimaanisha ni lazima uwe na college degree...
  3. Tanzanite Digital Agency

    Huwezi Futiwa Deni Facebook Ads (Sponsor ads) Usitapeliwe Kizembe!

    As long as utatumia page yako kutangaza biashara, Fb itaku-track tu. Kama utabadilisha pages na information zote, basi tumia computer au device nyingine kabisa. Maana ip address yako, iko tracked kwa previous devices ulizotumia
  4. Tanzanite Digital Agency

    Huwezi Futiwa Deni Facebook Ads (Sponsor ads) Usitapeliwe Kizembe!

    Hii ni kwa wafanyabiashara au watu wanaotangaza biashara zao kwa platform za Meta (Facebook na instagram). Kumekuwa na huduma nyingi sana haswa instagram, Kuna vijana wanatangaza huduma ya kufuta madeni ya Facebook na instagram, na wengine kucharge hadi sh. 50,000 kwa account moja. Nataka...
  5. Tanzanite Digital Agency

    Changamkia! Jinsi ya kuanza kazi kama Freelancer 2023

    nahisi alikusudia kusema."kwa" sio "ya"
  6. Tanzanite Digital Agency

    Changamkia! Jinsi ya kuanza kazi kama Freelancer 2023

    The best way ni kujifunza digital marketing kwa kutangaza kupitia mitandao ya kijamaa kam Facebook na instagram, ni rahisi japo ni skill kama kama utahitaji kuanza unaweza check hii vid, inaweza kukupa mwanga
  7. Tanzanite Digital Agency

    Changamkia! Jinsi ya kuanza kazi kama Freelancer 2023

    Kwanza, Freelancer ni nani? Freelancer ni mtu yoyote self-employed anayefanya kazi kwa watu/mtu au makumpuni mbalimbali bila kuwa na long-term relationship nao wala commitment za kazi nyingne zaidi, mostly done online. Typically freelancers hulipwa kwa lisaa, siku ama muda service anayotoa kwa...
  8. Tanzanite Digital Agency

    Jinsi Ya Kupata (win) Kazi on Upwork

    Kwa maelezo ya mifano, check hii video itakupa muongozo vizuri zaidi.
  9. Tanzanite Digital Agency

    Jinsi Ya Kupata Kazi Fiverr (Approved Method)

    Wakati dunia inazidi kubadilika technologically, Nchi za Ki-Africa hatuna sababu ya kubaki nyuma maana resources zote za mtandaoni ni za dunia na wala si nchi fulani. Nadhani kama umepata kuona Ai mpya ya chat GPT utagundua within 5 years kama utalala sasahivi, basi utakuwa nyuma sana. Lakini...
  10. Tanzanite Digital Agency

    Jinsi Ya Kupata (win) Kazi on Upwork

    Kuna thread ipo mkuu nimeelezea, pia video ipo youtube nimeonyesha steps zote live.
Back
Top Bottom