Recent content by tanzanianprince

  1. tanzanianprince

    JamiiForums Tanzania Napanga kusafiri leo usiku Arusha - Mwanza (kuanzia saa moja usiku) napata gari wakuu

    Wakuu natumaini mko poa Nampango wa kusafiri kutoka Arusha kuelekea Mwanza leo mida ya jioni kuanzia saa moja usiku, hivi naweza tumia usafiri gani kuelekea huko leo jioni, kama kuna gari za binafsi, IT au gari ya mzigo ambayo naweza pata naomba tupeane connection wakuu [emoji1545]
  2. tanzanianprince

    JamiiForums Tanzania Wazee wa "road trip" safari yako ilikuaje 2021/22?

    wakuu Nataka nisafiri kutoka Arusha leo jioni mida ya saa kumi na mbili (usiku) naweza pata usafiri hata gari binafsi
  3. tanzanianprince

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanajua nipo Chuo Dar wakati mimi nipo Arusha; Wamenitembelea kimya kimya

    pamoja sana mkuu [emoji408][emoji91]
  4. tanzanianprince

    JamiiForums Tanzania Je wajua baadhi ya staili ya kufanya mapenzi inaweza changia kupata watoto wenye kilema cha ajabu?

    huu uzi mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. tanzanianprince

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume wanaume msimtafute mchawi

    Da wanaume wa Dar inakuaje [emoji23]
  6. tanzanianprince

    JamiiForums Tanzania Wangapi hatupashi matapishi kwa dear Ex

    miguu itapendeza [emoji23]
  7. tanzanianprince

    JamiiForums Tanzania Wangapi hatupashi matapishi kwa dear Ex

    [emoji23][emoji23] viporo siku hizi haviliwi
  8. tanzanianprince

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanajua nipo Chuo Dar wakati mimi nipo Arusha; Wamenitembelea kimya kimya

    Wakuu nimekamatwa aisee wazazi wamejua sipo Dar chuo inabdi nianze safari ya kurudi Nyimbanu [emoji24][emoji24]
  9. tanzanianprince

    JamiiForums Tanzania Wangapi hatupashi matapishi kwa dear Ex

    Wakuuu; Wangap hatujawahi kupasha matapishi kwa dear x zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. tanzanianprince

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanajua nipo Chuo Dar wakati mimi nipo Arusha; Wamenitembelea kimya kimya

    Huu mda wa UE Na Royaltour [emoji23]
  11. tanzanianprince

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanajua nipo Chuo Dar wakati mimi nipo Arusha; Wamenitembelea kimya kimya

    Habari wana JF Mimi ni kijana ambaye nimemaliza form six mwaka jana, nimebahatika kusoma chuo Dar (IFM), lakini kutokana kutokupenda kile nilichokuwa najisomea nikaamua kujingiza kwenye biashara ambayo bado haijazaa matunda vizuri [emoji30] Kwa bahati mbaya wazazi wamenitembelea ghafla Dar...
Back
Top Bottom