Nguvu za kiume wanaume msimtafute mchawi

Mavazi ya akina dada wa siku hizi ni picha za ngono tosha, yani ukikatiza mitaani unaona watu wako nusu uchi, ukitazama filamu unakutana na nusu uchi, ukitazama video za muziki(hususan bolingo) unakutana na nusu uchi. Yani filamu za uchi kwasasa sio lazima utumie smartphone, zipo live zinatembea.. sasa kwa hali hii lazima wanaume tuathirike kisaikolojia.
 
Kweli kabisa mkuu...
Vipi msela wako Yuen Biao hajambo!?...
 
Back
Top Bottom