Recent content by Tanzanianiano

  1. Tanzanianiano

    Nahitaji kwenda kutembelea sehemu aliyobatizwa Jesus na maeneo mengine maarufu ya zamani kama Nazareth etc

    Naomba msaada wa maelezo kutoka kwa mtu ambaye ameshafika maeneo hayo na gharama zake zipo vipi. Je ni airport ipi ipo better au karibu na hayo maeneo? Tour guide ipoje? Asanteni sana.
  2. Tanzanianiano

    Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    Akili zako ni robo kilo aisee...
  3. Tanzanianiano

    Usafiri wa Basi from Dar es Salaam to Johannesburg

    Sure.. Maelezo yapo very clear
  4. Tanzanianiano

    Usafiri wa Basi from Dar es Salaam to Johannesburg

    Duh.. Asante sana mkuu. Unaonekana ni traveller kweli. May God bless u
  5. Tanzanianiano

    Usafiri wa Basi from Dar es Salaam to Johannesburg

    Asante sana mkuu, You are the best aisee.. Maelezo yako yanajitosheleza an yamenisaidia sana. Vitu vingi sana sivifahamu kwasababu ndio itakuwa safari yangu ya kwanza. Kama kuna issue nyingine ntauliza mkuu
  6. Tanzanianiano

    Usafiri wa Basi from Dar es Salaam to Johannesburg

    Habari wanaJF, Nipo na plan ya kusafiri Dar -Jo'burg kwa bus. Naomba msaada kufahamu yafuatayo: Safari inachukua siku ngapi? Route ipi ni the best kati ya kupitia Lusaka au lilongwe? Nauli ni bei gani, kampuni ipi ya mabasi ipo vizuri? Na kingine chochote cha kuzingatia kwenye safari.
Back
Top Bottom