Recent content by Tanzania1973

  1. T

    Kwanini kampuni za mabasi hazifanyi hivi Bongo, haya ni mapinduzi

    Tanzania,acha Tu,ili basi lipate abiria unamtegemea mpigadebe,sasa kupata mizigo dijui utaomba kuupata kutoka kwa nani? Wenye mabasi tunawaonea huruma Sana,Dar Jana nimemlipa mpigadebeTsh 28,000 ya tiketi ya kuja arusha,kwa macho yangu ninamuoma anampelekea conductor Tsh 18,000 .mpigadebe pale...
  2. T

    Babati: Wapiga debe wamekuwa kero kubwa stendi ya mabasi ya mkoani; Mkurugenzi wa halmashauri ya Babati upo likizo?

    Niliwahi kusafiri maeneo mengi ila Babati kuna kero kubwa sana inayoletwa na wapiga debe ktk stendi ya mabasi ya nje ya mkoa. Kulangua nauli, kuvutavuta abiria, wizi na upotevu wa mizigo. Je stand hii Mkurugenzi wa mji wa Babati anaifahamu? Je anajua kero na shida wananchi wanayoipata...
  3. T

    Traffick eneo la Mafinga ni wezi na matapeli

    Huku arusha stand ya mabasi, wache ru,wala traffic hawajuwagi Kuna cha pccb wala cha nani ,Ni kuomba rushwa mtindo mmoja.trafic huku kupangiwa point ya stand ya mabasi Ni deal.Hivini lazima traffic wakae stand za mabasi?mbona abiria akiibiwa pesa,au mizigo, au abiria akilanguliwa nauli mbona...
  4. T

    Polisi Morogoro wanakula rushwa kwa wamiliki wa bar

    Huku arusha stand polisi wanakula rushwa kwa kushirikiana na wapigadebe WA stand,kila basi moja likitoka stand lazima walipe 10,000
  5. T

    Waziri Jafo; Afisa utumishi Wilaya ya Hai, Habiba Mtunguja kweli ni tatizo

    umemsahau agisautumishi WA moshi manispaa, madam Mary, acheni mungu aitwe mungu.ni shida bora hiyo WA hai.
  6. T

    Waziri Mkuchika, Afisa Utumishi wilaya ya Hai ni tatizo la kutibiwa haraka sana

    Afisa utumie Maafisautumishi Ni kero,mwingine Yuko moshi manispaa,Ni shidaaaaaa,kila siku anatutukana sisi walimu, tunaomba kwenye CV yake aweke hapa. Kuna shida imejitokeza mtu alikuwa mwalimu anakwenda Chuo anasomea HR,akirudi anapewa uafisautumishi, imekuwa Ni kero,kero kero. hii kitu...
  7. T

    Ofisi ya mfuko wa bima ya afya Mtwara inashirikiana na duka la dawa kuumiza wagonjwa?

    Du,nilidhani Ni Kilimanjaro Tu tunafanyiwa hivyo,lipo duka liki pale opposite na ofisi za tanesco mkoanikilimanjaro,moshi mjini.wahisika wafuatilie bei za dawa pale,ziko juu sana
  8. T

    IGP Sirro, nakutaarifu Dar na Arusha si salama kwa safari za usiku

    mchana huko stand za mabasi askari wanashirikiana na wapigadebe, kukusanya mahela ,na kuombachochote kwenye mabasi.ikiwezekana mgambo WA jiji ma manispaa wawe stand za mabasi, wakati wawe kwenye check point zao huko barabarani .pccb kaeni maeneo ya stand mtajifunza mengi, na mtapna mengi...
  9. T

    SERIKALI: Tofauti kubwa ya mishahara Serikalini kukoma

    Hii imeti Hii imekaa sasa na imetulia,ndani ya halmashauri unamkuta mkuu WA idara ya elimu (afisaelimu) analipwa 3 milion plus wakati huo huo amelingana kielimu,kiujuzi na mwalimu ansyefundisha shuleni ndani ya halmashauri hiyo hiyo mwalimu analipwa 1,200,000 basic salary. Kali na kali zaidi...
  10. T

    Waziri Selemani Jafo: Bila kuboresha shule za Serikali elimu ya umma itapoteza uelekeo

    Mh, waziri, stand zote za mabasi ya mikoani ziko chini ya Tamisemi,swali serikali ilizijenga na kuxibinafshia wapigadebe na maagent WA mabasi? Ninauliza kwa sababu serikali haipewi mrahaba na hao wapigadebe Bali wapigadebe wanachukua fedha zote wanazokusanya na kupeleka makao,ili halo stand...
Back
Top Bottom