Recent content by Tanzania Salesman

  1. Tanzania Salesman

    Kimara/Kibamba Highway Construction - tupo pamoja nanyi daima

    Nawapa pole wale wote wanaopitiwa na mradi unaoendelea wa upanuzi wa barabara, Mwenyezi Mungu awape wingi wa rehema na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu sana kwenu nyote pamoja na familia zenu. Endapo utahitaji plot iliyopimwa mbali kabisa na barabara hapa jijini Dar basi naomba tuwasiliane...
  2. Tanzania Salesman

    Sales Alert: Nauza kwa dharura Kiwanja Kilichopimwa chenye Title Deed

    Natoa punguzo la asilimia kumi (10%), kwa mteja aliye tayari naomba ajitokeze tufanye biashara.
  3. Tanzania Salesman

    Hongereni mabingwa wa FA Cup, Arsenal The Gunners na S.S.C

    Ushauri wangu kwa timu zote mbili ziongeze viungo washambuliaji, ila pia wasibadili makocha katikati ya msimu.
  4. Tanzania Salesman

    Hongereni mabingwa wa FA Cup, Arsenal The Gunners na S.S.C

    Yote kwa yote ligi mbalimbali duniani kote zimefikia tamati na mabingwa kupatikana. Napenda kutoa pongezi zangu kwa Arsenal Na Simba kufanikiwa kushinda ubingwa wa FA, kila la heri kwenu na sasa mjipange vizuri kwa msimu ujao wa ligi.
  5. Tanzania Salesman

    Sales Alert: Nauza kwa dharura Kiwanja Kilichopimwa chenye Title Deed

    1-ukubwa wa kiwanja: 772sqm 2- kipo mkoa gani: DSM 3- au wilaya gani: Kigamboni 4- bainisha unafuu wake: bei ni nafuu kulinganisha na hali ya soko ilivyo, Tsh.13M only.
  6. Tanzania Salesman

    Sales Alert: Nauza kwa dharura Kiwanja Kilichopimwa chenye Title Deed

    Bei tayari nimeweka na kama kawaida ya biashara ya ardhi ilivyo, mazungumzo (bargaining) pia rukhsa.
  7. Tanzania Salesman

    Sales Alert: Nauza kwa dharura Kiwanja Kilichopimwa chenye Title Deed

    Ni mwenye hati sio dalali, yaani unapatana na mimi bila kupitia kwa dalali.
  8. Tanzania Salesman

    Sales Alert: Unga Safi wa Dona uliosagwa vizuri kwa mahindi kutoka Iringa

    Napokea oda za unga wa dona uliosagwa vizuri kwa mahindi mapya ya msimu huu yasiyowekwa dawa ya kuzuia wadudu waharibifu wa nafaka. Package ni kutokana na mahitaji yako, utapata kwa bei ya jumla/promosheni, tsh 5000/= kwa kilo 3 za unga safi wa dona.
  9. Tanzania Salesman

    Sales Alert: Nauza kwa dharura Kiwanja Kilichopimwa chenye Title Deed

    Haya mambo sasa hadharani, hamna kujificha wala nini ila sikutaka madalali wa-take advantage ya kuweka cha juu na kumuumiza mnunuzi. Plot ipo maeneo ya Kigamboni mita chache kutoka majengo ya mradi wa maghorofa ya NSSF. Ukubwa wa hiyo plot ni mita za mraba 772, na bei sokoni kwa sasa ni kati ya...
  10. Tanzania Salesman

    Sales Alert: Nauza kwa dharura Kiwanja Kilichopimwa chenye Title Deed

    Nauza kwa dharura kiwanja kilichopimwa chenye Title Deed chini ya Market Price. Plot ipo maeneo ya Kigamboni mita chache kutoka majengo ya mradi wa maghorofa ya NSSF. Ukubwa wa hiyo plot ni mita za mraba 772, na bei sokoni kwa sasa ni kati ya tsh 15M hadi 22M, ila kwa dharura/shida niliyo nayo...
  11. Tanzania Salesman

    Nunua hapa kiwanja kilichopimwa upate kingine bureee

    unaweza kuunganisha nguvu na mwenzako mkapata viwanja viwili vilivyopimwa kwa bei ya kimoja (two-in-one), bei unapanga wewe ila aneyefika dau la juu zaidi ndiye mnunuzi. viwanja vipo eneo la Dege, Kigamboni Dar es Salaam, ukubwa ni sqm700 kila kiwanja, na vyote vina hati. taja dau lako hapa...
Back
Top Bottom