Tanzania Salesman
Member
- May 25, 2017
- 12
- 3
Yote kwa yote ligi mbalimbali duniani kote zimefikia tamati na mabingwa kupatikana. Napenda kutoa pongezi zangu kwa Arsenal Na Simba kufanikiwa kushinda ubingwa wa FA, kila la heri kwenu na sasa mjipange vizuri kwa msimu ujao wa ligi.