Sales Alert: Nauza kwa dharura Kiwanja Kilichopimwa chenye Title Deed

May 25, 2017
12
3
Nauza kwa dharura kiwanja kilichopimwa chenye Title Deed chini ya Market Price.
Plot ipo maeneo ya Kigamboni mita chache kutoka majengo ya mradi wa maghorofa ya NSSF. Ukubwa wa hiyo plot ni mita za mraba 772, na bei sokoni kwa sasa ni kati ya tsh 15M hadi 22M, ila kwa dharura/shida niliyo nayo nimeshuka hadi tsh 13M bila ya kuwepo mtu wa kati, aka Dalali.
 
hela ipo ila usilete ujanja ujanja weka bei hadharani watu tuione..

mambo ya gizani kutapeliana na ikiwezekana title number pia iweke tuikague ardhi tujilizishe
 
Nauza kwa dharura kiwanja kilichopimwa chenye Title Deed chini ya Market Price, mwenye cash money isiyo na figisu-figisu ni-PM nikupe full details.
Kwa makosa haya utachelewa kuuza, fanya editing;
1-eleza ukubwa wa kiwanja
2- kipo mkoa gani
3- au wilaya gani
4- bainisha unafuu wake
Na mengineyo, tangazo lazima lijitosheleze...ntakujaje pm halafu uniambie kiwanja kipo maneromango Kisarawe?
 
Huyu kwani ni Taperi? anauza chake and then anajificha... ?
 
hela ipo ila usilete ujanja ujanja weka bei hadharani watu tuione..

mambo ya gizani kutapeliana na ikiwezekana title number pia iweke tuikague ardhi tujilizishe
Haya mambo sasa hadharani, hamna kujificha wala nini ila sikutaka madalali wa-take advantage ya kuweka cha juu na kumuumiza mnunuzi.
Plot ipo maeneo ya Kigamboni mita chache kutoka majengo ya mradi wa maghorofa ya NSSF. Ukubwa wa hiyo plot ni mita za mraba 772, na bei sokoni kwa sasa ni kati ya tsh 15M hadi 22M, ila kwa dharura/shida niliyo nayo nimeshuka hadi tsh 13M bila ya kuwepo mtu wa kati, aka Dalali.
 
hela ipo ila usilete ujanja ujanja weka bei hadharani watu tuione..

mambo ya gizani kutapeliana na ikiwezekana title number pia iweke tuikague ardhi tujilizishe
Bei tayari nimeweka na kama kawaida ya biashara ya ardhi ilivyo, mazungumzo (bargaining) pia rukhsa.
 
Kwa makosa haya utachelewa kuuza, fanya editing;
1-eleza ukubwa wa kiwanja
2- kipo mkoa gani
3- au wilaya gani
4- bainisha unafuu wake
Na mengineyo, tangazo lazima lijitosheleze...ntakujaje pm halafu uniambie kiwanja kipo maneromango Kisarawe?
1-ukubwa wa kiwanja: 772sqm
2- kipo mkoa gani: DSM
3- au wilaya gani: Kigamboni
4- bainisha unafuu wake: bei ni nafuu kulinganisha na hali ya soko ilivyo, Tsh.13M only.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom