Tanzania Salesman
Member
- May 25, 2017
- 12
- 3
Napokea oda za unga wa dona uliosagwa vizuri kwa mahindi mapya ya msimu huu yasiyowekwa dawa ya kuzuia wadudu waharibifu wa nafaka. Package ni kutokana na mahitaji yako, utapata kwa bei ya jumla/promosheni, tsh 5000/= kwa kilo 3 za unga safi wa dona.