Mbona lowassa yupo kimya sana? Hivi kina makonda aka chabruma hamuogopi ukimya wake?
Lowassa anajua mengi kuhusu ccm kuliko ww makonda wa juzi tu hp...
Muda ukifika lowassa tutamjua na mtakubali kwann anafaa kuwa rais wa hii nchi 2015..
Kwanza naanza na Salaam kwenu wana Jf ..
Naomba nikiri kuwa mimi ni mwana UKAWA niliyetokea kushawishika na kupendezwa na Mh Waziri mkuu aliyejiuzulu/ kuwajibika Feb 2008 kutokana na makosa yaliyofanywa na watendaji wake kuhusu sakata la RICHMOND (LOWASSA).....
Baada ya utangulizi huo naomba...
Mimi ni mtanzania wa kawaida sana hasa ktk nyanza za siasa ....
Katika shughuli zangu za kila siku hapa DSM na nje ya DSM ukipita ktk vijiwe vyote viwe vya kahawa, maskani za vijana, viwanja vya mpira, maeneo ya kujifunzia hususani mashuleni na vyuoni, ktk vyombo vya usafiri na sehemu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.