Tanzania Halisi
Member
- Jun 21, 2014
- 49
- 9
Mimi ni mtanzania wa kawaida sana hasa ktk nyanza za siasa ....
Katika shughuli zangu za kila siku hapa DSM na nje ya DSM ukipita ktk vijiwe vyote viwe vya kahawa, maskani za vijana, viwanja vya mpira, maeneo ya kujifunzia hususani mashuleni na vyuoni, ktk vyombo vya usafiri na sehemu za karakana watu wengi wanashauri kuwa CCM isifanye makosa ya kumkata jina MH EDWARD NGOYAI LOWASSA " EDDO"....
Asilimia kubwa wanasema kwasasa ndani ya CCM hakuna chaguo sahihi linaloweza kuhimili vishindo vya UKAWA zaidi ya LOWASSA....
Hata kwa tathmini ya kawaida tu wanachama wa UKAWA wengi wao wanaomba Lowassa agombee urais ili wamsapoti na kumuunga mkono ..
Mazuri mengi sana yamefanywa na Lowassa yanafahamika na wananchi wanahitaji aje kuwatumikia Kwa nguvu zake zote ..
Shime wana CCM hususani ktk vyombo vya maamuzi tusikilize kilio cha wanyonge kwa kumpitisha Lowassa 2015 atuongozee nchi yetu pale atakapotuachia kipenzi chetu JK.....
LOWASSA ATOSHA KWA 2015 HAO WENGINE MUDA WAO UKIFIKA NAO TUTAWAOMBA WATUONGOZE ILA KWA SASA LOWASSA ANATOSHA.