Recent content by Tanzanature

  1. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Aiseee, inahuzunisha sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwa nini mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mmmm, I wish niwe sijaelewa wanachomaanisha. Yaani kwamba mwanafunzi akipata ujauzito anaweza kupata elimu mbadala (mf. kufanya mtihani kama private candidate) kisha akimaliza form four anaweza kuchaguliwa kwenda mfumo rasmi (school candidate)! Yaani kwa jinsi nikivyoelewa "wazazi" hao wanaweza...
  4. Tanzanature

    Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

    Mimi pia nilitaraji mleta mada kuleta hoja za kwa nini Gwajima apuuzwe, sijaziona kwenye hili gazeti lake. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Tanzanature

    Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

    Naona wachangiaji wengi wanamshambulia Gwajima badala ya kushambulia hoja zake. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] These people are funny walahi [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii ndiyo raha ya kuwa na wachumi wazuri kwenye jukwaa. Umetoa somo zuri sana mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ha ha haaa. Aliikimbia hiyo mada yake mwenyewe. Naona umemdaka juu juu [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kuna mwaka Bakhresa alikuwa no 1 on forbes list kwa Tz. Ni kati ya 2011 na 2014 hapo. Nadhani net worth yake ilishuka chini baada ya kuzidi kuzamisha pesa kwenye ujenzi wa viwanda vipya (Mkuranga pekee ni bn 250), meli na real estate pale Fumba. Hesabu ya networth huyumba nyakati za uwekezaji...
  10. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sasa nakujibu kwa mara ya mwisho we Mungiki [emoji23][emoji23][emoji23]. Hapo Dar station patakuwa na lines mbili. Hivyo chombo ikiona imechoka haiwezi kwenda Ruvu kulala itatulia hapo kwenye line ya pili. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Tanzanature

    Tuhuma za Rostam Aziz zichunguzwe. Wawekezaji walikuwa wanaikimbia Tanzania na kama tusingewapokea ungekuwa ujinga

    Mikenya kweli minyang'au na mibaguzi! Umeshindwa hata kuiuliza google ikwambie Rostam ni Mtanzania na si mhindi? No wonder mpaka mkachinjana kwa ajili ya wanasiasa. Laana ya ubaguzi itawatafuna milele msipoangalia. Huyo Rostam alikuwa mpigaji tu enzi zile Tz ni shamba la bibi. Ni huyo JPM...
  12. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hakuanzisha yeye mkuu, ilikuwa sheria yeye alitekeleza tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ndiyo nyie The best 007 husema kuwajibu ni kupoteza muda. Zikitaka kulala zinaenda marshalling yard pale Ruvu km 93 (katikati ya hii section ya Dar-Moro). Kuhusu kipande cha kutokea bandarini utulie. Kitakapoanza kujengwa utakiona. Kwa sasa endelea kuchezea mtori maana nyama ziko chini. Sent...
  14. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Binafsi sina tatizo na rais mstaafu kupewa zawadi ya gari itakayoendana na hatua ya maisha aliyofikia (ya chini chini). Tatizo langu ni thamani ya gari na timing yake. Katika nyakati ambazo kuna makundi ambayo unayaambia seeikali yako haina uwezo wa kuyakirimu kwa kiwango tarajiwa (watumishi...
  15. Tanzanature

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nishamsoma mkuu. Hapo nilikuwa bado sijagundua kwamba ni dishi. [emoji122][emoji122] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom