Recent content by Tanza kwabza

  1. Tanza kwabza

    JamiiForums Tanzania Polisi inawakamata Waratibu wa LBL lakini Watu wanaendelea kupigwa hela kwenye mfumo huohuo

    Kwa kweli watanzania inatubidi tuendekee kujifunza na serikali ina jitahidi kueleimisha tatizio watanzania tuna taka njia fupi nikimaanisha utajiri wa haraka na nsicho kinacho tugharimu baadhi ya watanzania tulio wengi
  2. Tanza kwabza

    JamiiForums Tanzania Kisauji (babu wa TikTok) afungiwa miezi sita

    Si vizuri kwa kauli kwa kuwa ni muislam Ina maana wakristo hawapewi adhabu naomba tuangalie majibu yasije leta taaruki kwa jamii nawatakia jioni njema
  3. Tanza kwabza

    JamiiForums Tanzania Wenye daladala, bodaboda na migahawa walia baada ya machinga kuondolewa Kariakoo

    Watazoea tu ni uamuzi mzuri Jiji lilikuwa halitamaniki Hata kwa waenda kwa miguu ilikuwa ni shida kupita tuja ribu kubadilika tusi ishi kimazoea lazima kuwepo na maeneo maalum wenzetu wame wezaje kuweka miji Yao safi na kwa mpangilio tuta zoea tu naipongeza serikali kwa atua iliyo chukua
  4. Tanza kwabza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa watumishi

    SaFi sana mh rais Samia suluhu Hassan rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania unaupiga mwingi tuna Imani nawe
  5. Tanza kwabza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Semeni na tuleteeni Viongozi wasiowajibika

    Safi sana lazima uwajibike kuwatumikia watanzania unapo pewa dhamana jitume na usibweteke na kazi iendele
  6. Tanza kwabza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunaowatumbua ni wale legelege

    Tuna Imani nawe chapa kazi mh rais nchi ipo kwenye mikono salama na kazi iendelee
  7. Tanza kwabza

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ally Bananga arudi CCM kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu

    Si njaa ni utashi wake kwani mwanzo alikuwa wapi na akaenda wapi je alikuwa na njaa tumwache Ni uamuzi wake kama alivyo Toka mwanzo na kaamua kurudi ni yeye mama anaupiga mwingi na kazi iendelee
Back
Top Bottom