Arusha: Ally Bananga arudi CCM kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
23,640
2,000
Kichwani mweupe.. pua hana elimu udc hawezi pata ataidhia kuambulia bahasha za lumumba
Huyu kama sikosei alikuwa alikuwa katika timu ya kampeni ya Tundu Lissu!!Nimemsoma wakati fulani Instagram alikwa kama anawaaga wana Chadema.Naamini kama kawaida ya wahamiaji siku si nyingi atakula U DC.Kila la heri!!
 

AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
2,045
2,000
Watu wenye akili timamu hawawezi kuwa misukule ya magaidi. Saccos inavuja kama pakacha la mchukuzi.
 

Man from cuba

Member
May 2, 2021
96
150
Nimewahi kumwambia Bananga kipindi kile akijifananisha na the late Alphonce Mawazo nilimwambia tui la nazi na maziwa kamwe hazifanani akaishia kunilima block
 

dndagula

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
711
1,000
Ndani ya Chadema siyo rahisi kumpata mtu asiye na chembechembe za CCM labda hawa madogo wa juzi Tindo, Babati na Mmawia.

Chadema ni CCM B
Asiye na chembechembe za CCM ni Dr Silaa hata km alipewa ubalozi na mamlaka na CDM walimuudhi kwa Lowasa. Bado ana msimamo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom