Recent content by Tanwise

  1. Tanwise

    JamiiForums Tanzania Yanga VS Marumo Gallants: Mechi ya kipimo cha Ubora wa Ligi Kuu ya Tanzania

    Yanga inatakiwa ijifunze kwa Simba jinsi ya kutumia uwanja wa nyumbani (home advantage) sio blah blah.
  2. Tanwise

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nilishawaambia muengueni Tundu Lissu, hamkusikia. Oneni!

    Hivi ww Kama nani unaanza kusema shida za wenzako mbona shida zako huzisemi? Utajua hujui muda ukifika. Hii nchi kubwa sana sio kisiwa Kama unadhani unaijua sana hii nchi jua huijui kuanzia Sasa.
  3. Tanwise

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Taifa mna uhakika kesho ofisi za Tume ya Uchaguzi zitafunguliwa?

    we humfahamu Salary Slip, kutwa mabandiko ya chadema.
  4. Tanwise

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Taifa mna uhakika kesho ofisi za Tume ya Uchaguzi zitafunguliwa?

    Kwa swali hili inaonyesha Salary Slip ni Rai wa kawaida ila nilidhani ni Mwana Chadema kindakindaki pole Sana.
  5. Tanwise

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kosa la kimkakati walilofanya CHADEMA

    Ng'ombe atakapo dondokea atachinjwa hivyohivyo. Sea lion
  6. Tanwise

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais ni kuikabidhi Tanzania kwa Mabeberu. Tusifanye kosa twende na John Pombe Magufuli

    Kila mtu ashinde mechi zake unawashwawashwa na Nini? ballot box ndo mpango mzima zingine kelele za chura.
  7. Tanwise

    JamiiForums Tanzania Ikitokea kama ilivyotokea 2015, Lissu atafanya kama kile alichofanya Dkt. Slaa?

    Usimfananishe Lissu na watu waajabu. Ni Yeye #2020#. iwe jua , iwe kimbunga ni Yeye no else. Kwanza Lissu keshapenya kura za maoni ndani ya Chadema unamfananishaje na Slaa ambaye hakupenyaga kwenye Kura za maoni?? shame on you by fail to compare these issues. we endelea na Ccm yako ya Chadema...
  8. Tanwise

    JamiiForums Tanzania Rais mfute Abubakari Kunenge Ukuu wa Mkoa. Mrudishe Makonda Tafadhali

    tehe tehe tehe. Hakuna kula chipsi yai
  9. Tanwise

    JamiiForums Tanzania Live updates: Ujio wa Tundu Antipas Lissu nchini Tanzania tarehe 27 Julai 2020. Ameaga rasmi Ubelgiji leo jumamosi

    Hakuna aijuae kesho bando la kutosha Tayari kwa kuperuzi
  10. Tanwise

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

    Picha ndo Kwanza linaanza
  11. Tanwise

    JamiiForums Tanzania Wabunge 8 Dodoma, Pwani waangushwa kura za maoni CCM

    Lol! Siasa hatariiii Kama umeme wa Transifoma
  12. Tanwise

    JamiiForums Tanzania Wabunge 8 Dodoma, Pwani waangushwa kura za maoni CCM

    Lol! Siasa hatariiii Kama umeme wa Transifoma
  13. Tanwise

    JamiiForums Tanzania U-Genius wa Dr. Magufuli katika kugundua Janja ya watendaji wake wapiga dili mapema

    Sema Chochote Mkuu japo namisi muandiko wa Pasco JF.
  14. Tanwise

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl. Nyerere alishindwa kuhamia Dodoma?

    Mmmh Kwani Meko bado hajaamia DOM?
  15. Tanwise

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

    Kabulala endelea tuu Kulala maana unamasikio Lakini husikii, una Macho lakini huoni. Yaani kilichofanyika ni ujinga
Back
Top Bottom