Rais mfute Abubakari Kunenge Ukuu wa Mkoa. Mrudishe Makonda Tafadhali

Ajabu na kweli ni kuwa wakereketwa wake wamenuna hata kukupa like tu haiwezekani.
 
Maybe wewe ndio mnafiki. Unataka tuandike hoja kama wewe ambavyo huandika? We differ. Akirudishwa ndio furaha yangu. Na ndicho nachotaman ili wenye wivu waumie

Japo Umetuandika na Kutuwasilishia Hoja zako Kinafiki na Kidhihaka zaidi, ila sitoshangaa kuona huu Uzi wako ukakubalika na akarejeshwa tena!!!
 
Rc Mpya anaendesha mambo kiutu uzima
Au mlitaka mumuone kwenye harusi ya esma
Au kwenye matukio ya wakina nandy!
Kwa taarifa yako Rc huyu msimchukulie poa
Mkimletea ukauzu naye ni kauzu

Ova


Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Maybe wewe ndio mnafiki. Unataka tuandike hoja kama wewe ambavyo huandika? We differ. Akirudishwa ndio furaha yangu. Na ndicho nachotaman ili wenye wivu waumie

Kwa Kukusaidia tu hata JPM Mwenyewe amefurahi kwani alishamchoka Siku nyingi sana.
 
wnadarisalama bhana, mmepata uhuru sasa mmeshauchoka, hovyo kabisa.
 
Naunga mkono hoja Makonda arudishiwe ukuu wa mkoa Dar huu mkoa umepoa sana uharifu utarudi kwa speed kubwa maana kumepooza sana Makonda alikuwa na amsha amsha, mkwara majambazi wamenywea wenyewe baba Magufuri utusikie baba
 
Mleta mada mwenyewe yupo kigoma khaa we mambo ya Dar unayasikia kwenye Redio hahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom