Hakika hiyo ndiyo taswira yetu kama wana was nchi tena itatugharimu iwapo tutakuwa kama mateka waliosimama bila kujishughulisha kutoroka katika #Sobibor
Nakumbuka wakati anachaguliwa kuliongoza hilo bunge maalum la katiba aliingia na falsafa ya 'chura karudi kwenye maji yake' lakini huyu chura mbona amekufa kwenye haya maji yake...? Je uhodari wa huyu chura uko wapi ndani ya maji yake, hakika Samweli Sitta amebaki mfa maji hivyo ataendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.