Pinda amtibua Lowassa

Pinda amtibua Lowassa

I wish wawafukuze Butiku na Warioba faster ili wakione cha moto! Kazi alizozifanya Butiku na Warioba kwa CCM hakuna hata mmoja aliekaribia, hawa wazee walijenga imani ya CCM mioyoni mwetu tukiwa makinda! Wasidhani kuwa CCM inakubalika kwenye baadhi ya vijiji kwa bahati mbaya! Wazee walifanyakazi ... Criminal minds siku zote ni shida tupu!!! .... Pinda akigombea na Lowassa tutauliza swali moja tu la Msingi... Miaka 2 ya Lowassa tumeshuhudia maendeleo Makubwa ya Kiuchumi! Miaka 8 ya Pinda tumeshuhudia watu wakiuawa kwa Mabomu, Risasi za Moto via programu yake ya "Liwalo naLiwe ...Wapigwe tu"...dini zote, watu wote wanataka maendeleo ama mabomu na risasi za moto? ...
 
Warioba na wenzake hawawezi kuhojiwa. Na wakifanya hivyo ataomba pia viongozi wa chama na serikali walioruhusu katiba ya JMT kuvunjwa nao wahojiwe.
 
CCM wamebaki wafa maji hakika itawagharim sana na wataumizana sana katika uchaguzi wa hapo mwakani...!!
 
Unajiongopea na ukawa yako

Chadema kubwa jinga a tanzania daima dogo jinga wote mbumbumbu wa siasa uandishi ata tathmini wamesaha waliyokuwa wakisema dhiidi ya baregu na kitilia mkumbo wanafikiri wasomaji wengine tuna akiliya kuku ya kusahau yaliyopita muda mchache tuu .
 
I wish wawafukuze Butiku na Warioba faster ili wakione cha moto! Kazi alizozifanya Butiku na Warioba kwa CCM hakuna hata mmoja aliekaribia, hawa wazee walijenga imani ya CCM mioyoni mwetu tukiwa makinda! Wasidhani kuwa CCM inakubalika kwenye baadhi ya vijiji kwa bahati mbaya! Wazee walifanyakazi ... Criminal minds siku zote ni shida tupu!!! .... Pinda akigombea na Lowassa tutauliza swali moja tu la Msingi... Miaka 2 ya Lowassa tumeshuhudia maendeleo Makubwa ya Kiuchumi! Miaka 8 ya Pinda tumeshuhudia watu wakiuawa kwa Mabomu, Risasi za Moto via programu yake ya "Liwalo naLiwe ...Wapigwe tu"...dini zote, watu wote wanataka maendeleo ama mabomu na risasi za moto? ...
Nina hakika EDWARD LOWASA akileta posa kwa wazazi wako, faster tu unaolewa maana mahaba yako kwa lowasa ni MAHABA NIUWE.
kinachonifurahisha ni kwamba MNALIJUA KUTOKA MOYONI KUWA RAISI AJAYE ANATOKA CCM na ndio maana tunabanana kwenye uzi kama huu. Hahahahaaaaaa
 
Kumbe chanzo ni Tanzania Daima!
Hata mm nilikuja mbio lakini kukuta ni gazeti la Chama Pinzani (Tanzania Daima) nimechoka
Habari yenyewe haijajipanga
ni ya majungu ya kisiasa
mo ya kikampeni kuvyryga mbio hizo
 
Hawa wazee hawagombei chochote je wanafaidika nini na CCM sasa. Msuya mfano ameacha mambo ya siasa! hayamsaidiii kwa sasa hivyo hawa wazee hawanashida za kisiasa. Hata Nyerere angefukuzwa basi kwa CCM hii
 
Wakuu ! Kuna magazeti kusoma mpaka uwe kichaa ! Pia,kuna Tv kuzitazama na redio kusikiliza ni mpaka uwe mwendawazimu !
 
Ni wendawazimu na umbumbumbu kufikiria kuwaadhibu wajumbe wa Tume wakati wajumbe hao hawakua wakifanya kazi ya chama.

Ni fikra za kiuendawazimu na roho ya kishetani tu kufikiria kuwafukuza akina Warioba.Basi kama ni kufanya hivyo wafanye haraka kama wana jeuri hiyo

Du ! Ebu fikiria Mtu aliyeleta Huo Uzushi ni Komba ! Hv komba ana Mfano gani wa kuigwa mpaka watu wasikilize Maneno na porojo zake, Komba ni Fisadi wa Pesa za TOT Band haikui licha ya kujiendesha na kupewa Luzuku na Chama, Mapato na matumizi hayajulikani, pesa za mfuko wa Jimbo anazifuja ndio Maana Hakuna Maendeleo,Nje ya Bunge huku mtaani ni Mtu mwenye Tabia za Ajabu ajabu sana Hana Maadili , Mpenda Michepuko wa kutisha huku akijinenepea Hovyo kiasi kwamba Mafuta yamepanda kwenye Ubongo hadi Uwezo wa Kufikiri kabla ya kuongea Umepotea. Komba ni Shiiiiiiiiiiida.
 
Warioba na wenzake hawawezi kuhojiwa. Na wakifanya hivyo ataomba pia viongozi wa chama na serikali walioruhusu katiba ya JMT kuvunjwa nao wahojiwe.

Tatizo ni nani alipendekeza wahojiwe ? eti mtu anayetaka wahojiwe ni Komba ! Ebu jiulize Mtu Kama Komba kichwa kimejaa mafuta, michepuko, vioja na ufujaji wa pesa za jimbo na band ya TOT anawezaje kuleta Huo Uzushi alafu asikulizwe ! Kumba Hana sifa au mfano hata mmoja wa kuigwa !
 
Back
Top Bottom