Recent content by tangoMwitu

  1. tangoMwitu

    Nadhani Tigo ni moja ya Kampuni za Simu Mbovu kupata kutokea hapa Nchini

    Sahizi Kuna sahiz yako ambayo batili kabisaa unataka tomato wanakuwekea pilipili hivyoooi
  2. tangoMwitu

    Serikali ianze kuwachunguza wanaonunua magari mapya na kujenga nyumba mpya na pia isambaze mashushu baa na hoteli zote. Ni wahujumu uchumi!

    I think,ujasoma na kulewa kile kanembe alichokusudia that's why u turn it into lililife Mimi kama mtu wa TIS naweza sema sema kanembe stayaway with our gvt.
  3. tangoMwitu

    NATAFUTA SPACIO new model KUANZIA 2002 KUENDELEA

    Kama kichwa kinavyosema Spacio 2002 and above Mintcondition,fullvibali Lowmilage Nomber c au d,D itapewa kipaumbele Dau m6 maongezi kidogo yapo Nicheki kwa picha WhatsApp 0656800446 nije na fundi tukague gari tuchukue mzigo.
  4. tangoMwitu

    Gundua kitu kwenye hizi picha

    Yes nimemuona
  5. tangoMwitu

    Gundua kitu kwenye hizi picha

    Picha ya kwanza nimeshindwa ya pili huyo ni mbwa kalala ya tatu hayo majani ni vichwa vya huyo jamaa,ya nne kunadada mmoja hapo hana miguu ya tano huyo dada wakat anamikono mitatu
  6. tangoMwitu

    Morogoro: Zitto Kabwe akamatwa, ahojiwa na kuwekwa ndani. Atoka kwa dhamana

    asab asante ndug.umenitoa ujinga nilijua wanatoa cash.
  7. tangoMwitu

    TANZIA: Diwani wa CHADEMA Kata ya Namwawala mkoani Morogoro auawa kwa kukatwakatwa mapanga

    niseme ukweli toka moyoni siku nikisikia polisi kauwawa au mwanaccm ameuwawa nitafurahi sana..hee jinamizi la kifo wakumbuke polisi na ccm uwajarie kifo ili wengine tupate kufurahi.
  8. tangoMwitu

    Morogoro: Zitto Kabwe akamatwa, ahojiwa na kuwekwa ndani. Atoka kwa dhamana

    naomba kuuliza hivi hizi dhamana huwa zinarudishwa kweli mil 50 ni nyingi..
  9. tangoMwitu

    Morogoro: Zitto Kabwe akamatwa, ahojiwa na kuwekwa ndani. Atoka kwa dhamana

    naomba kuuliza hivi hizi dhamana huwa zinarudishwa kweli mil 50 ni nyingi..
  10. tangoMwitu

    Baada ya Rais Magufuli kufanikiwa kuua upinzani vyama. Sasa kaibua upinzani Umma

    umeuliza vizuri sana ila si zani uliyemuuliza anauelewa mkubwa wa kuweza kujibu,ajui kuwa nimenyamaza kwasababu namuogopa sio kwamba nampenda na kundi ili tupowengi tunasubiri mtu wa kutuanzishia tu ili uwoga ututoke ila kwa hali inayoendelea kauwoga kanaanza kuondoka soon wengi tutakuwa tayari...
  11. tangoMwitu

    Tanzania ni mahala salama sana pa kuishi

    upo sawa mkuu,hata mimi nimebadili mfumo wa maisha zamani niliwaamini sana jf lakini sasa nipo kama thomaso naamini sana utube maana naona kwa macho mambo yanayotokea asante mchina kutuletea simu sasa tunaweza kuona na kujifunza mengi kuliko zama za ujinga nawaonea huruma vipofu wasio na uwezo...
  12. tangoMwitu

    Je, wajua kuwa jongoo anao uwezo wa kudhuru afya yako,au hata kuua?

    nimekutana na huu uzi baada ya kutafuta madhara ya jongoo kwa binadamu ili nimsaidie mwanangu,napenda kukujulisha tu ndugu jongoo anasumu sio nime ila ninamshuhudia mwanangu wa mwaka mmoja amepata madhara hadi sasa anajikuna na vimemtoka vidonda kama vya moto ,alikuwa amemshika jongoo akijaribu...
  13. tangoMwitu

    Mbowe: Tumesimamisha mgombea jimbo la Singida Kaskazini, kama sheria inavyotutaka ila tumesusia Uchaguzi

    unaonekana ulitoka kipindi anatoka dr wilbroad, hata kula ujampigia mume wao lowasa ila mboona shabiki roho inakuuma kuliko wanachama.chadema awana mgombea singida ccm wamepigwa hela pale walijua jamaa waliompa hela na kumshawishi agombee atakomaa sahizi kawageuka wanaweweseka cdm hatuna mgombea...
  14. tangoMwitu

    Sura ya Mwl. Nyerere hana macho ya Mwl. Nyerere

    Salamu wanajamvi! Tangomwitu ni mnyonge wa mawazo na macho yake hayana uwezo wa kuona ninakotoka wala ninakokwenda lakini baada ya kashikashi nyingi za siasa za watu kuama kutoka huku kwenda kule macho yangu leo yamepata kuona. Amefanana na mwl.Nyerere na ni jembe kwelikweli huwa na mkubari...
Back
Top Bottom