Recent content by tangazo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nipo chuo mwaka wa pili,nasomea ualimu wa sanaa,nataka kuacha chuo

    Hiyo ndio hidden factor kama hamna ajira tz basi hakutakuwa na sababu ya kuwepo hayo masomo ni sawa nakuanzisha degree ya nuclear tz nia na madhumuni watu wakimaliza waende wapi kwa hivyo kama hakuna ajira au malengo ya mbele hakuna maana pia ya kutoa hiyo elimu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Juice ndio safi maana inaleta nguvu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

    m.gsmarena.com/vertu_signature_s-2753.php
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hoteli Dodoma

    Hahahahaha nimecheka sana mkuu pia ahsante sana nitaiongezea kwenye orodha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hoteli Dodoma

    Nashukuru sana kaka unafaham viwango vya pesa kwa usiku mmoja
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hoteli Dodoma

    Ungenipatia na maeneo mkuu ungenisaidia sana ili wakati wakuchagua nikiwa hata na tax asiejua mji tusisumbuane sana
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hoteli Dodoma

    Vip kuhusu bei mkuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hoteli Dodoma

    Ahsante elson nilikuwa nahitaji zilizo pemben ya mji kidogo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hoteli Dodoma

    Habari wakuu, Mimi ni mwenyeji kutoka Dar es Salaam nategemea kwenda Dodoma, naomba ushauri wenu wapi nitapata hotel nzuri yenye vinywaji malazi na chakula. Ahsanteni
  10. T

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nahitaji GTA V

    Nashukuruni wakuu nishapata
  11. T

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nahitaji GTA V

    Nitaipataje marandu na kwa bei gani
  12. T

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nahitaji GTA V

    Habari wadau samahan kwa usumbufu tafadhali mwenye game ya gta V ya pc tuwasiliane nashida nayo sana sharti awe anapatikana morogoro Ahsanten
  13. T

    JamiiForums Tanzania Toro drip irrigation system

    Unapatikana wapi na sh ngap
  14. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya internet cafe

    Mhhhhhh
Back
Top Bottom