Recent content by Tangasisi

  1. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sioni Kama mnajibu maswali ya wateja wenu shubaamiti!!!
  2. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu piga moyo konde uwaombe radhi Watanzania kwa maslahi mapana ya chama kuelekea 2020

    Umekula maharage ya wapi ww!!?
  3. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata mtoto wa kiume

    Asante kwa uzi mzuri tunasubiri trick za wale wanawake wenye mizunguko mirefu ...
  4. Tangasisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

    Toka kabisaaa hatutaki ku bet sisi
  5. Tangasisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MBINU: Ukigombana na mkeo na akanuna fanya yafuatayo

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mwana umetisha...
  6. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

    Ukishayaona what next ...dah. Mwenzio anachechemea hata kutembea hawezi wewe unataka kuona makovu. ..!!?
  7. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini "Charger" yaani Nazi+muhogo mbichi + mbata zinauzwa na wanawake tu

    Sorry Ni karanga mbichi+mbata+ Mhogo mbichi...nawakilisha
  8. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini "Charger" yaani Nazi+muhogo mbichi + mbata zinauzwa na wanawake tu

    Wana JF mnaotumia hii kitu mlishawahi kununua kwa wanaume??? Biashara za wamachinga zipo nyingi na zinafanywa na jinsia zote lakini hii mm inanishangaza wauzaji ni wanawake pekeyao...kwanini wanaume hawachangamkii hii fulsa ?
  9. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania Kuingiza mzigo wa simu toka China ama korea

    Sikupata majibu ndio maana nimetuma tena ..wafanyabiashara wa simu hakuna humu JF..!!
  10. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania Kuingiza mzigo wa simu toka China ama korea

    North Korea ndio Kuna kasheshe ya Vita japo Hakuna mapigano yoyote .Simu ntafuata South Korea ambako kumetulia na wastaarabu Sana.
  11. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania Kuingiza mzigo wa simu toka China ama korea

    Wadau nimelazimika kuuleta tena huu uzi ili nipate msaada wenu juu ya jinsi ya kuingiza simu used na brand new tokea China na Korea. Nataka kuingiza simu genuine Samsung brand toka Korea na simu nyingine toka China. Kwa anayejua taratibu za uingizaji na makadirio ya Kodi tafadhali anijulishe...
  12. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kuingiza mzigo wa simu toka China au Korea

    Wadau napenda kuja mbele yenu kuomba msaada wa namna ya KUINGIZA simu used na mpya toka nje ya nchi km China na Korea .Mtaji ninao wa kutosha ila sijui km makadirio ya TRA yanakuaje kwa simu used na zile mpya. Kwa yeyote aliyewahi kuingiza na ambaye anafanya Biashara ya simu uzoefu wako...
  13. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania CCM imechanganyikiwa?

    Hivi ukiwa CCM ujinga unahusika? Upofu na uziwi je?!! Huoni kinacho endelea wala husikii...?!! Hata kuwaza kweli huwezi?! ....mkuu wa wilaya wakati ananunua watu Arumeru wewe ulikuwa wapi? uko dunia gn?!! .Naamini wapo CCM welevu hasa na IPO siku watapata pa kusemea.@Mshana
  14. Tangasisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy birthday Emanuel Okwi, afikisha miaka 26

    Ndio maana wakiumia hawaponi haraka ...
  15. Tangasisi

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Magufuli anaua Upinzani, kwanini Wananchi wako kimya?

    Tatizo ni "Takwimu" ....
Back
Top Bottom