Hii ndiyo njia sahihi kwa mwanamke yeyote,, Kwanza tafuta cycle yake ujue ni siku ngapi yaani toka period 1 hadi nyingine, ukijua kazi ni Rahisi tu Anza kuhesabu siku ya mwisho ya cycle yake kabla ya bleed Rudi nyuma siku14 ile ya 15 ndo siku hatari zaidi kwake, na kama Huko juu ndg kaeleza vizuri tu kwa kuwa Yai litakuwa limeshuka sana Ukisex naye hiyo siku Mtapata mtoto wa kiume maana mbegu YY zina speed sana zitawahi kulifikia yai,,mfano
Mwanammke mwenye cycle ya siku 28.
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,{11,12,13},(14),15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28,
Hivyo ukiangalia mwenye mzunguko wa siku 28 yaani tume assume Blee imeanza Trh 1 kwa huo mwezi siku ya hatari zaidi kwa kuhesabu kutoka mwisho utakuta Trh 14,, hivyo masaa72 ambayo mbegu za XX hukaa hivyo kama ni mtoto wa kike mnataka fanyeni sex ktk siku ya 11, na 12, na msisex tena.. Kuna uhakika wa 90% wa kupata mtoto wa kike maana mbegu YY hadi hiyo Trh 14 zitakuwa zimekufa na kuziacha XX zikivinjari na zitarutubisha na ukitaka mtoto wa kiume fanyeni siku ya 14,, vivyo hivyo na mwenye cycle ya siku 30,31,32,33,34,35, mfano mwingine
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,{21},22,23,24,25,26,27,28,29,30,31,32,33,34,35
Mwwnye cycle ya siku 35 siku hatari zaidi ni hiyo siku ya 21 mkisex hivyo cku ya 21 mtapata mtoto wa kiume mkisex siku 3 kabla yaani cku ya 18 mtapata mtoto wa kike.. Njia ni nyepesi tu hesabu siku 14 kutoka mwisho wa cycle.
N.B kuna wanawake wana cycle ya siku 15 HAWA ni ngumu kupata ujauzito Labda tu waamue kusex huku mwanamke akiwa bleed.
{1},2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15
Sasa utagundua kuwa siku yake ya Yai kurutubishwa ni siku yake ya kwanza kuingia bleed yaani wakati upande mmoja kukiwa na yai limekomaa ndo na yai la upande mwingine limeshapasuka,, hivyo mwanamke wa cycle ya namna hii anatakiwa Afanye mapenzi na mwenza wake siku ya kwanza ya bleed,,
KITU kingine mnapaswa kupima kwanza kama mwanamme uliyenaye ana mbegu XX na YY kuna baadhi ya wanaume pia wana XX pekee hiyo ndo hupelekea hata mpange vipi mtazaa watoto wa kike pekee,, ila siku mkeo akichepuka na kukutana na mwanamme mwenye YY na XX anazaa mtoto wa kiume wakipanga vizuri kalenda hivyo hilo pia ni Angalizo Mwanamme Pima kwanza ujue mbegu zako na pia ujue kama zina uwezo wa kurutubisha Sema wanaume wengi hasa wa kiafrika hawapendi kupima mambo ya uzazi huwa wamejiaminisha tu wako vizuri na hili ni tatizo sana ndo maana wanaume wengi wanalea watoto wasiokuwa wa kwao..