Recent content by Tangaone

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

    Tatizo lake ni kubwa sana hii korona sio ajenda kwakweli angeachana nayo tu
  2. T

    JamiiForums Tanzania NMB: Makato mapya kwa wateja wa NMB yaja yakiwa yameongezeka mara mbili zaidi ya sasa?

    Hawa ni waongo jamani nimefanya salio nmb klink nimekatwa zaidi ya 15000 c sawa hata kidogo jamani mtu unahisi unaeahisisha maisha Kumbe ndio unajididimiza
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mei mosi: Sina imani tena na vyama vya wafanyakazi

    Sheria hiyo hiyo inasema mfanya kazi apandishwe daraja kila baada ya miaka 3,watu wanamiaka sita mitano hawajapandishwa madaraja hawana barua za malalamiko kuhusu utendaji wao jamaa limefumba macho,increments kila mwaka IPO kwenye sheria hazionekani mwaka wa tatu sasa ila za kumgandamiza mfanya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Sanaa ya maandamano na sikukuu: Nyuma ya pazia kuna wakubwa

    Utajiri upi arifu me naona taabu tu maisha haya kila Leo afadhali ya Jana!Mbaya zaidi ata afueni ya kulalamika, kukosoa,hamna ukisubutu kukutwa unageuzwa mbwa koko kwa mateke na visu na risasi za moto zinazopigwa hewani zinakata kona kuufumua ubongo wa MTU alieko ardhini.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM

    Kuna sehemu nlickia kadi ya ccm ni muhimu sana nikawa nawaza kivip leo ndo nimeelewa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mapungufu katika jeshi letu la polisi sio weledi ni utashi wa baadhi ya askari. ..

    Mxiuuuu jeshi la polisi limeoza na hii ni kwasababu uvunjifu wa sheria umeanzia kwa executive system so hamna wa kumfunga mwenzie kengele na awamu hii ukivunja sheria kama police unalindwa na kupewa cheo!weledi wa kazi gani sasa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Ya Leo inaitwa ctaki ugomvi na mkuu c kwa kuminywa huku kwa kutoa maoni
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mambo mengi yanayofanywa na wanasiasa ni kwa manufaa yao binafsi na si kwa lengo la kusaidia wanyonge

    Wanategemea Neema kwa MTU wa kaliba hii wanashangaza haswaa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    Na alaaniwe kwa laana kuu yeye na kizazi chake na wote tuseme AMINA
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Serikali kugharamia mazishi ya Alen Achiles aliyefariki baada ya kutoka Polisi

    Hamna mchawi atuulie huyu MTU Maana Mungu yuko slow sana!! Jamani
  11. T

    JamiiForums Tanzania Askari sita waliokamatwa kwa kumuua Akwilina Akwilini wako wapi? Wamechukuliwa hatua gani?

    Mungu na akulipe wewe na kizazi chako pamoja na kila aliyeshiriki kufunika damu za vijana wetu Allen na Akwillin!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Abdul Nondo tekeleza hili jambo haraka sana

    Duh aombe msamaha ili aachiwe aishi???!me naona bora aombe ukimbizi au arekodi clip ya ukweli wote airushe mtandaoni wamuue tukiwa na ushahidi ,karma will make dem pay!!Mungu ni wetu sote
  13. T

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Tanzania: Unashitakiwa kwa kudanganya kuwa ulitekwa, unanyimwa dhamana kwa kuwa watekaji wako hawajakamatwa

    Sasa unachoogopa ni kitu gani adi unajizalilisha kiasi hichi hivi mbona watu kibao hawajaajiriwa na wanaishi,huku tunakoelekea tutakua taifa LA majuha kiss ujuha wa MTU mmoja
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu anavyomwita Mtanzania "Kinyago" ana uhalali wa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?

    Wana watanzania wakufikirika vichwani na matumboni mwao ndo wanaowapigania kina Akwilina na sisi wote wanotuona ni vinyago tu kwao ndo maana ujasiri wa kuita watu vinyago wanao
Back
Top Bottom