Recent content by Tanganyika19

  1. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Watawala makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika

    Umewasahau hawa manyang’au. 1. Fode Sanko(Sierra Leone) 2. Charles Taylor(Liberia) NB: Mpaka vita vya wenyewe kwa wenyewe vinaishi Sierra Leone, maelfu ya wananchi walikuwa walemavu iwe ni miguu ama mikono. Na wengi wao wakiwa watoto na wanawake. Hata jeshi la Fode Sanko lilijaa watoto(U18).
  2. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Watawala makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika

    Hakuwa dikteta
  3. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Dikteta Hastings Kamuzu Banda wa Malawi aliyepiga marufuku kuvaa suruali

    Inamaana miaka yote aliyokaa UK masomoni ndio alikua anasoma huu ujinga wa URAIS WA MAISHA?![emoji1][emoji1][emoji1]
  4. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Operation Wet-i-e Counter-Coup

    Uzi umenyooka sana sina budi kuurudia tena ili kuumeza vizuri zaidi...
  5. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Ching Shih: Haramia hatari kuwahi kutokea

    Manowari 300?!
  6. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Sura Mbaya, jambazi aliyeitikisa Tanzania kutoka Tabora

    Kwahiyo ukiangalia sana picha na video za mashoga kuna uwezekano siku moja ukashawikishika kuwa shoga?![emoji848] Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori

    Ila picha hapo juu c yenyewe ni ya kutengeneza. Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Simulizi za vitabu

    Hapo muandishi amesema mzee Sembe alifikwa na umauti tarehe 22/05/1999 na Kama unakumbukumbu nzuri, je hiko kipindi Mwalimu alikua ameshafariki? Jibu ni hapana Mwalimu alikua bado yuhai. NB: Jitahidi kusoma kwa umakini taarifa unayoiona na kuuchangamsha ubongo kwanza kabla haujacomment...
  9. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Kardinali Pengo ang'atuka, Askofu mkuu Ruwa'ichi ashika usukani Jimbo Kuu la Dar es Salaam

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo hauafiki hivi vyeo?
  10. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Isaya Athanas ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kubaka na kulawiti mtoto wa miaka mitano

    Soma tena taarifa kwa umakini kiongozi
  11. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Kigwangala: Wanaopinga mradi wa Stigler's gorge kufanyiwa fujo na kubanwa mbavu!

    🤣🤣🤣🤣🤣
  12. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Ukumbi wa Arnautoglo safari ndefu ya Mwalimu Nyerere ilipoanzia

    Historia adimu na adhwimu sana
  13. Tanganyika19

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Camilo Cienfuegos wa Cuba!!

    Asante kwa shule ya bure
Back
Top Bottom