Recent content by tangakwetu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi

    Hao wanaosema mbaguz jmp ni wale waliowekana kikabila,hapo TRA na CRDB sasa hiv kimenuka hakuna dili tena ni mwendo wa hakk tu ndo mana,mnachonga sana,na bdo kaz ndo imeanza mtarud kula ndiz migombani.
  2. T

    JamiiForums Tanzania waziri wa mambo ya ndani

    Wadau naomba msaada wa mawasiliano ya waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh.Dr. Charles Kitwanga.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kazi mpya sumatra

    We huna,adabu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kipimo kibovu sana cha kupima mafanikio yako

    Usilete siasa hum
  5. T

    JamiiForums Tanzania Fresh graduate with a B.sc in Electronics science and communication

    Umeshindwa kutumia kiswahili? Though we,real understand what matters here but the best is to use kiswahili not english
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mama Neema. Je, nichukue milioni tano au niache?

    Wew unaleta,mzaha,hum.kwa ma,great thinkers iweje unatuletea bongo.movie hum how comes bro be serious
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Achana,nae maboya,sana hawa wakiwa na,shida wanyoonge yani wanaweza hta kutoroka kwao kwa ajili yko akipta boya mwngine anakumwaga bila huruma ------- sana
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tigo boresheni mtandao wenu huku Njombe

    Kuna,watu toka juzi wapo huku wanahamasisha watu wahame huo mtandao wa tigo toeni tamko watu wahame mana,wengi wana pesa,zao tigo pesa,wanataka kuzitoa wahame
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tigo boresheni mtandao wenu huku Njombe

    Hebu boresheni mitandao huku Ludewa na Njombe mbona huu ni mwezi sasa network ni tatizo. Kama leo toka mchana mpaka muda huu network inasumbua sana. Kama wateja ni wengi semeni wengine tupungue ili huduma ziwe nzuri watu wanashindwa kufanya kazi zao huku..
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ewe Joshua Nassary, Godbless Lema amekukosea nini?

    Ukawa wanaanza,kutoleana,siri zao hapa,yatafahamika,mengi we ngoja,tu wameanza kuvurugana sasa.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Chekeleeni ya Magufuli, yatakujieni ya Hitler

    Hawa wanaopinga Magufuri % kubwa walikuwa wanafaid kwa mfumo ulopita,sema hatujuani hum ila mtz kwa kawaida ukiacha,tofaut, za vyama magufur ana,pave the way to success na,tz itakuwa mpya mda x mrefu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Chekeleeni ya Magufuli, yatakujieni ya Hitler

    Kaka hapo juu nimekuelewa vema,sana tatzo la,sis watz tuliowengi ni wanafiki kama,Magufuri asingefanya haya hawahawa ungewasikia,wakisema,amemezwa na mfumo na hakuna jipya atafanya yani anafanya kwa matakwa ya chama,leo amejitoa kuikomboa nchi ilokuwa mikononi mwa wachache walokuwa wakifaidi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je usaili wa immigration umeshafanyika?

    Uwanja, wa taifa kumbuka
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ninamuachia Mungu......

    Funguka mkuu wadau wapo hum watafatilia
  15. T

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU ina kazi gani kama Rais na Waziri Mkuu ndio wanaogundua rushwa?

    Takukuru haina kazi bora ifutwe mana ipo na,rushwa bdo inaendelea
Back
Top Bottom