Sup, ku-disco, chuo, kunasababishwa na mambo mengi. Mfano, mazingira, vyuo vingi TZ, mazingira yake ni magumu, hasa pale unapo kosa hela ya kujikim kwa muda mwafaka. Uhaba wa walimu vyuoni, mpaka inafikia kutomaliza silabas, au kupigwa extreem ikiwa mwalim ameazimwa toka chuo kingine. Zipo...