Uhusiano kati ya Ufaulu Kidato cha sita na Vyuoni

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
Poleni na Majukumu ya wiki nzima;
Naomba mawazo yenu katika hili!
Wanafunzi wanaopata Division One kidato cha sita hupewa kipaumbele sana na baadhi ya vyuo kama UDSM,Mzumbe na kwingineko.
Tulitegemea wafaulu sana wanapokuwa vyuoni, lakini bado kunakuwa na sup(kukamatwa), pamoja na wengine kuacha kabisa, na wengine ku-disco. Inasikitisha kuona mtu amefaulu kidato cha nne, sita anashindwa kuhitimu Chuoni.

Wadau tatizo hapo ninini?
 
siyo wote na siyo kwamba hawapo! ni kawaida sana........chuo ni next step of growth my friend. ni mazingira tofauti na secondary. Hakuna cha ajabu.
 
Wengi huwa wanajisahau na wengne hujiona wao ndo wao kwa kuwa wamepga div 1 zenye points kali.vile vile wengne hujikuta hawafanyi vzr kutokana na kozi wanazokua wamechaguliwa kusomea,mfano mtu uliomba let say kusoma bcom,wao wanakuchagua kusoma sheria na wkt mtu anakua hana future yoyote na sheria hyo nayo inawafanya vijana wengi kutokua makini na shule kivile.
 
Sup, ku-disco, chuo, kunasababishwa na mambo mengi. Mfano, mazingira, vyuo vingi TZ, mazingira yake ni magumu, hasa pale unapo kosa hela ya kujikim kwa muda mwafaka. Uhaba wa walimu vyuoni, mpaka inafikia kutomaliza silabas, au kupigwa extreem ikiwa mwalim ameazimwa toka chuo kingine. Zipo changamoto nyingi, ikijulikana hamna fimbo, na lecturer ndo kashikilia marks zote. So, akihsi kudharaulika, aweza fanya chochote! Ndugu, maisha ni magumu Tz hii, tuwaombe hao walioko vyuoni, na si muda wa kuwateta!
 
siyo wote na siyo kwamba hawapo! ni kawaida sana........chuo ni next step of growth my friend. ni mazingira tofauti na secondary. Hakuna cha ajabu.

mbona hajajiuliza kwa nini mzumbe,kibaha,ilboru kunakuwa na 0,4,3 wakati wao wanachukua mwisho point tano kwenye matokeo ya form four? Kila step ina juhudi zake na mbinu zake. Elimu ya tanzania haina connection nzuri kuanzia chini. Mtu kasoma pcb anaenda llb kinachofuata si uwezo wa kukariri tu?
 
Poleni na Majukumu ya wiki nzima;
Naomba mawazo yenu katika hili!
Wanafunzi wanaopata Division One kidato cha sita hupewa kipaumbele sana na baadhi ya vyuo kama UDSM,Mzumbe na kwingineko.
Tulitegemea wafaulu sana wanapokuwa vyuoni, lakini bado kunakuwa na sup(kukamatwa), pamoja na wengine kuacha kabisa, na wengine ku-disco. Inasikitisha kuona mtu amefaulu kidato cha nne, sita anashindwa kuhitimu Chuoni.

Wadau tatizo hapo ninini?
Nimeipenda hoja yako, nadhani lazima zipo research hasa za masters in education, zinaweza saidia ku- analyse factors
 
Wengi huwa wanajisahau na wengne hujiona wao ndo wao kwa kuwa wamepga div 1 zenye points kali.vile vile wengne hujikuta hawafanyi vzr kutokana na kozi wanazokua wamechaguliwa kusomea,mfano mtu uliomba let say kusoma bcom,wao wanakuchagua kusoma sheria na wkt mtu anakua hana future yoyote na sheria hyo nayo inawafanya vijana wengi kutokua makini na shule kivile.

Kweli kabisa
BgUP!
 
Back
Top Bottom