umepewa laki moja kwa ajili ya watoto umetumia nusu tu 50% huo ni ufisadi.. chenji umeficha ...ungekuwa na akili na upendo ungewanunulia vijizawadi hata viatu au kitu chochote ungewapa hata buku mbili mbili au buku tano ..wewe umeenda kuificha mume hujamwambia watoto hujawaambia ..miaka kumi na...
umbumbumbu wa kutokusoma vitabu ndio huu mtoa mada hajanukuu wala kukopi aya yoyote kwenye hivyo vitabu zinazoonyesha upotoshaji bali mihemko kaa chini usome ndo uanze kubisha sio kukopi vipengere vya wanasayansi uchwara na kutuletea hapa ni upotezaji wa mda na nguvu na akili
Sent using Jamii...
kama wanasayansinwameshindwa kujua binadamu alitoka wapi wanaanzaje kupinga narration zingine ....hao ni wanasayansi au wanga?!
Sent using Jamii Forums mobile app
nauza friji west point almost new haina tatizo lolote
bei laki 5 inapungua kidogo
lipo makumbusho
contact 0686055444
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanasiasa wa upinzani aliyeweka kuleta damage kubwa kwa selikali iliyopo madarakani kwa awamu ya nne na ya tano zaidi ya ZITTO ..hayo madai mengine ni umbea kama umbea nwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
achana na hizo imani acha kuunganisha matukio ....unapoona kitu chochote cha ajabu fanya scientific research kwanza utaja gundua kuwa ni akili yako tu umeipindisha kuelekea wewe unakokuwaza ...
kuna watu wakifeli tunatafuta wa kumlaumu
ulichokigadithia hadi mda huu hujaonyesha kitu chochote cha...
Msasa wa umeme aina ya BOSCH PSS 200 AC. Ni brand new haujawahi kutumika wa pembe nne. Bei laki moja 100,000/=
Nicheki kwa no 0686055444 niko dar mbezi mwisho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.