Recent content by tallnoma

  1. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa, marafiki zako hawakuchangii tena?

    Huyu mzee huwa anafanyaga mambo zake kimyakimya nyie mnazozana lakini kick zake akitokea huwa za moto sana . Viongozi wa nchi wapo tuwape ushirikiano mwacheni Edo afanye yake kkwanza.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dira watakiwa kumuomba radhi Ombeni Sefue

    Gazeti wakanushe wapi kwa nini wasiiitwe wakatoe uthibitisho wa kile walichoandika . Kelele nyingi mbona mpaka yawezekana huyo sefue mwenyewe ashawekwa pembeni kupangiwa kazi zingine. Nyie mnaomuonea pole mmejihakikishia vipi yasemwayo.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Najiuliza maswali kuhusu Waziri Mkuu atakayetokana na UKAWA

    soma ibara ya 51 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ya 1977
  4. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni realistic

    Sawa lakini embu mambo yako binasfi unayawekaje humu mbona Kuna jukwaani la unakubali kwa nini use post huko unrealistic wako hapa ni upi mmmmmmmmh
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais kwa tiketi ya CCM 2015 ameshapatikana

    ni sawa kwa mtazamo wako lakini unadhani cc ya chama cha mapinduzi itampisha mtu wa maamuzi ya papo kwa papo afu aje awafunge mafisadi.... ujasiri wa wa magufuli cdhani kama atapitishwa bt msimsahau upm .
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais kwa tiketi ya CCM 2015 ameshapatikana

    sio dr sheni tena
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mama na mwanae

    Mama: Mwanangu unalia nini hivyo? Mtoto: Nimeota kitu kibaya usiku. Mama:Kitu gani mwanangu? Mtoto: Nimeota Tumefungua Shule. Mama: Hoiiiii!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiongea ni kama AG, MNYIKA kama Spika, Mbowe kama Waziri Mkuu

    na mnyika anasimamia kanuni kama spika, ni mtizamo wa huyo mstaafu , lakini una hoja ya msingi na wewe toa si kila kitu vijembe tu, jaman huku penye watu wenye busara wengine ni mambo ya utani tu wanacoment najiuliza simuende jukwaa la udaku au kwa watoto wenzio fb, TZ ni yetu tuijenge pamoja
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awafukuza kazi wafanyajazi 13

    waeleshe kaka hapo nyoka kujivua ganda la zaman na kujivika jipya , wale wanarudi kwenye sekta zao zingine so hamna jipya hapa.
  10. T

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Kwa asilimia 90 nitajitokeza kugombea urais 2015

    JM kaongea vizuri sana ngawa kwa upande wangu tunahitaji viongozi wazalendo wa kutetea wanyonge' kasema chama chake lazima kipate mgombea atakayeendana na changamoto za karne ya 21 " tujiulize kwani ata ARI MPYA, NGUVU NA KASI MPYA pia zilikuja kwa sura nzuri sana lakini ndani ya miaka2 cabinet...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo wa mwaka wa kwanza SAUT Mwanza amejinyonga leo asubuhi

    R. I .p wakusoma
  12. T

    JamiiForums Tanzania aaaaaahhh!!!!!!!!! Hii ngoma inogileeeeeeee.....!!!!

    mchawi mpe mtoto amlee!
  13. T

    JamiiForums Tanzania facts and held

    sema na wewe uko shalo kwan ata ka h/work ka unaelewa ishu c una2pia nikoteze ata outline moja, mbona una wivu kwan ata library c 2nasoma kazi za wa2, toa ushirikiano kwenye jamii mnakomaa na mambo za utan pekee yake.
  14. T

    JamiiForums Tanzania TRAFIKI ashindwa kuongea kiingereza

    ulitakaje ndg yangu mbona mambo za kawaida huenda ata wewe kwenu anaefahamu kingereza ni wewe 2, ongeza ubunifu acha kuwa mtumwa nchini mwako.
  15. T

    JamiiForums Tanzania facts and held

    nisaidien facts na held ya kesi Christopher Mtikila ihusuyo constitutional.
Back
Top Bottom