Kama unatoka Dodoma mjini unapita barabara ya kwenda dar ukifika njia panda ya kwenda kiteto (inaitwa narco""narco ranch'''') unapita barabara ya kwenda kiteto
Kama unatoka dar ukifika narco unashuka hapo then unapanda magar ya kwenda mkoka kiteto
Ukifika mkoka
Utanitafta then nakuonyesha...
Habarini wana jamvi
Natumai hamjambo
Nauza kiwanja cha 3/4 ya ekari kwa shilingi lak nane
Kiwanja kipo maeneo y MKOKA KONGWA DODOMA ANAYEHITAJI
ANIPM
Nawatakia weekend njema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.