shadownet, Pole mwanangu ila kuna maswali yananijia kichwani baada ya kusoma uzi wako
Kwanza umesoma shule nzuri zote from the ground maana yake ww utakuwa smart kwa kiasi kutokana na elimu bora uliyoipata
Pili wazazi wako wote wawili wapo vizuri kwa maana kuwa wana connection kubwa.
Sasa...
Kaka wizard Mshana Jr heshima yako
Hvi mshana unajua uchawi wa radi?? Nataka nijue kitu hapo, there is something happened, i relate it with..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama twakimu zinavyosema maambuziki mapya kila siku ni watu 200
Kwa wiki 200x7. = 1400 people
Kwa Mwezi. 200x30. = 6,000 people
Kwa mwaka. 200x365 = 73,000 people
Ukimwi upo chukua tahadhari.
Sorry
Adumu jiwe
Ushauri mzuri
Afanyie kazi uliyomshauri ataona changes
Au wakati unashave usitumie wembe maana huwa unakwangua sana tumia shaving machine na hayo mafuta.
Kama tatizo halitoisha basi Utakuwa na tatizo linalohitaji msaada wa kitaalam zaidi
We fala [emoji3][emoji3] unabusara sana nimefatilia reactions za comments zako sijaona mahali umekosea, na nikuhakikishie hata hili jambo kwako litaenda kuisha vizuri bila kuacha hata alama na athari yoyote hasi kwako, Amini.
Kwa busara zako ni imani yangu utakuwa umepata mwanga na hatua gani...
Mimi nilipikaga chapati za kusukuma hizo, sijui nilikosea wapi hadi leo maana ile chapati sahani ya bati ni nyepesi kwa jinsi ilivyokuwa ngumu, jikoni badala ya kuiva inataka kuungua kama kuni kwenye frypan.
Yaani ikirushwa ikampitia mtu shingoni, inapita na shingo mazima.
Hadi leo sijawah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.