Recent content by Takeu style

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye wa Nigeria warudi makwao

    Ni kitendo kibaya sana nmekereka sana
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    Mbona tunaafanya yote haya mamy jmn kama kuna mmoja au wawili hawawajibiki kwenye majukumu au wajibu wao ni hao hao sisi wengine tuko. Vizuri sana
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    Vitabu vya Mungu vinakataa mwanamke na mwaume kuwa sawa maana mwanaume ni kichwa cha nyumba kama sio family kama Yesu alivo kichwa kanisa... Mwanamke atakuwa chini ya mwanaume mpaka dunia itapita na hao wanaojihangaisha kupinga maelekezo ya Mungu mwenyewe na kupiga debe haki sawa kwa kila kitu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

    Kashashinda mbona na kuna mkakati wa kumuongeza miaka mingine 10 baada ya 2025[emoji23][emoji23]
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji ana mchepuko ninaoujua, ili aachane nao anataka achepuke na mimi. Anasema ndugu yangu hawezi kazi

    Ila we jamaa unajua kuchekeshaa eti kama sio wale wanaopenda kwa kutumia mboo kwa iyo wengine wanapenda kwa kutumia nn[emoji23][emoji23][emoji23]
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji ana mchepuko ninaoujua, ili aachane nao anataka achepuke na mimi. Anasema ndugu yangu hawezi kazi

    Nipe namba ya shemej yako nikudaidie kazi ni kwelii kabisaa kuweka alipoweka ndugu yako wa damu sio poa nmekichek pm mkuu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Usajili wa simcard kwa vidole imekuwa nongwa

    100 kwa maelezo zaidi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Made in PRC ni sawasawa na made in China

    Ndio mkuu Kirefu chake ni made in People Republic of China [emoji3581][emoji3581]
  9. T

    JamiiForums Tanzania Made in PRC ni sawasawa na made in China

    Ndiyo maaNa yake mkuu pigia mistar
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kihaya & Kijita waongoza kwa vigezo zaidi nchini

    Hongera kwa kuwapigia debe dada zako tutaanza kuwatafuta tuwale
  11. T

    JamiiForums Tanzania Historia ya neno Msela na Baharia

    Baharia ni mwanaume mjanja, makini mwenye uwezo wa hali ya juu kihudumia familia yake na kila kitu anachohitaji mwanamke kama kihondomola nk.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Utumwa mpya ndani ya Kanisa

    Ndio maana mimi niliamua kuacha kwenda kanisani kwa ajili ya mambo kama. Haya niliona sisi washirika ndo mitaji ya wachungaji mitume na manabii.. Kanisa ni mimi mwenyewe hekalu ni roho yangu na. Mwili wangu baaada ya Yesu kunifia msalabani aliondoa kiambaza au ukuta uliokuwepo umezuia...
Back
Top Bottom