Kweli nashangazwa kabisa. Hivi upinzani si ni watu waliolimishwa na mfumo wa serikali ya ccm? Je hawaamini elimu yao kuwa inatoa watu wenye uwezo? Pili, watu hao wa upinzani wakijiunga na ccm ghafla wanakuwa bora? Inakuwaje hii? Tatu, kama upinzani hauna uzoefu wa kuongoza nchi, kwa nini nchi...
Kwanza kabisa, naona humfahamu Godbless Lema. Hakuanza siasa 2012 na hakuanza na Chadema. Mimi ni siyefuatilia siasa najua hilo! Pili, mimi ni mkazi wa Mkoa wa Arusha. Nachukia sisi kugundishwa na Utalii kama vile watu tulikuwa hatuna maisha kabla ya watalii. Maisha yetu tunayaendesha kwa...
Nape, Nape, wakati Dr anaweka nadhari upadri na Mungu ulikuwepo? Unafahamu makubaliano yao? Je, unafamu kuwa huwezi kumpenda Mungu kama hupendi unaowaona? Maana yake, huwezi ukasema unamtumikia Mungu kama hutumikii binadamu wenzako!!
Lugha unayotumia ya kejeli kumwita babu ndio unataka...
Hivi kweli kama Dr is going down or already down, why are going dwn with him by taking year time posting all these? It shows yuko juu na anawatisha! Pole but your strategy of dealing with it is not working. Hapa ni great thinkers!
QUOTE=masopakyindi;5173218]Ha ha
Now you are talking...
Mbona unajidhalilisha kweli? Kurudi nchini unavamia vyeo left and right? Kama kweli unaipenda ccm, si tungekuona kabla. Just like all of them! Ni mahali pa kufanya ufisadi. Subiri Mtera ukapambane na Livingtone! Lugha zenu zitafanana
Je, ilani ya ccm ilisemaje kuhusu kulinda raslimali za nchi? Nini kimefanyika? CCM inasema inasimamia amani, mbona machafuko ya dini yako left and right? Shule zinafungwa, makanisa yamechomwa moto than any other time. Au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani? CCM has always been chama cha vurugu. It...
Ahsante kwa darasa hili. Nchi yetu yote ni tajiri. Kama hii sera ingelitekelezwa huko nyuma, gesi, mafuta, nk yanayoguduliwa huko kusini yangekwisha gunduliwa na watu wa kusini wakapata faida. Tunaambiwa na viboko wa kipekee wako huko. Bungeni leo kila mbunge anataja vivutio vilivyopo maeneo yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.