kuna majitu mengine sijui yaliingia je kwenye kundi hili mtoa mada anataka mtu akiongea uongo tumwache coz ni mtu mzima? uprofesa na umri ni kwenye familia yake.
Hata Mwlim NYERERE Wakati anapigania uhuru wa Tanganyika aliitwa mchochez, CCM sasa kila kinacho tokea wanalia na CHADEMA, uzur ni kwamba tanzania tumeamka hivyo propaganda zao haziwezi kutuingia masikioni, MUNGU IBARIKI CHADEMA NA TZ.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.