Recent content by tajuka

  1. tajuka

    Ofisi ya Bunge imekanusha kuwa Spika Job Ndugai hajaandika barua inayotoa wito kwa CAG, Prof. Mussa Assad kujiuzulu ama kujieleza

    Hili swala sijui why linakuwa hivi !! Bado sijaona msingi wa kuzusha mambo mengi kisa kutumika neno neno dhaifu , kila MTU ni dhaifu tu labda asiwe mwanaadamu !! Spika ndugai sasa aachane na jambo hili maana CAG sio mwanasiasa kabisa anapoendelea kulumbana anapoteza sifa ya kuwa spika kabisa ...
  2. tajuka

    Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

    Nampongeza sana my.lissu mwaka wake huu hahaa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. tajuka

    Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

    Duh aiseeeh Kumbe inawezekana ukafunga ndoa mwanaume akawa mzuri kuliko mwanamke kweli kipendacho roho hula nyama mbichi tu mhmhmh dah Sent using Jamii Forums mobile app
  4. tajuka

    Niliyoyashuhudia kanisani wakati wa ibada yalinichosha!

    Kwani ulitakaje hujui utamaduni wa kanisa au , kama huwezi kafungue lako pia Sent using Jamii Forums mobile app
  5. tajuka

    Msaada jinsi ya kuwapata wanaosimamisha makato ya HESLB

    Mkuuu sijakupata nipatie namba maaana kimyaa
  6. tajuka

    Msaada jinsi ya kuwapata wanaosimamisha makato ya HESLB

    Mkuu sikupati mbona au unapatikana kwa namba zipi hasa?
  7. tajuka

    Msaada jinsi ya kuwapata wanaosimamisha makato ya HESLB

    Dada umechanganyikiwa au umefanywaje !???, uliza kwanza na uwe na heshima sio kila MTU wa kuropokea tu kama huwez kushauri nyamaza kimya sheria za jf huzijui au!??, Ngoja nikwambie labda kwa faida maaana Nina upendo na nimekusamehe Mimi walianza kunikata muda tu na kiasi kilichokuwa kimebaki...
  8. tajuka

    Msaada jinsi ya kuwapata wanaosimamisha makato ya HESLB

    Ndugu nicheki pm unipatie au nicheki kwa WhatsApp number 0689 711 324
  9. tajuka

    Ulaya unashtakiwa

    Dah huu ni ukatiri aisee hii gari ya Government kumbe!??? Aisee hapa ni kucheza na wave za wakati huu dereva atakuwa sio mzima kama alifanya hivi kwa utashi wake
  10. tajuka

    Msaada jinsi ya kuwapata wanaosimamisha makato ya HESLB

    Nipe kiongozi maaana nimechoka mbaya hapa na swala hili
  11. tajuka

    Msaada jinsi ya kuwapata wanaosimamisha makato ya HESLB

    Wapendwa habari, kuna vitu vinatia ghazabu sana , nimewalipa higher Education students loans board /HESLB balance yao yote na barua ya clearance wametoa nimpe mwajiri , well cha ajabu mpaka sasa bado nakatwa tu kupitia salary na napouliza mwajiri huku halmashauri ananiambia deni LA HESLB...
  12. tajuka

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Mimi namkubari jk Katika safari hizo zote Mimi sijaona tatizo , huyu ndio rais aliyeenjoy zaidi urais wake ! Hawa wengine wataishi maisha magumu tu maaana kama husafiri unakuwa mshamba tu
  13. tajuka

    Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

    Naogopa si alisema kachoka kutoa rambi rambi labda kiwe hakijaleta madhara
Back
Top Bottom