Recent content by taju

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini CCM inafanya mikutano lakini vyama vingine vinazuiwa?

    Ni kwel lazma mafisadi wang'oke mwaka huu, ukickilza hizo hesabu za mapato na matumiz ya taasisi za serikali ni wiz mtupu dah!! Hii nchi hii
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini CCM inafanya mikutano lakini vyama vingine vinazuiwa?

    Hebu tuambie ww ni mikutano gan ya kuhama sehem moja kwenda nyingine na kundi la watu, alaf hiv unajua alichokisema lipumba cku ile kwamba anakwenda zkhem kufanya nn au unaongea tu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

    Umeona eeh, anaropoka tu huyu, kwan hamna mambo mengine ya kusema zaid ya waislam, kwa taarifa yako mnalolitaka haliwi hata kwa miaka mia
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    Hili linawahusu waislamu, huo udin unatoka wap, hili ni la waislam kwan litaingia kwenye iman nyingine, sasa kwa nn ww likuume wakat hutahukumiwa ww, panua mawazo acha fikra za chuki
  5. T

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Waambie hao na huo ujumbe wao wa propaganda, mnapata 10% MOU je sio Pesa za walipa kodi wengine
  6. T

    JamiiForums Tanzania Asante serikali ya CCM kutokuingiza mahakama ya kadhi kwenye katiba mpya

    Si kwel kwamba mahakama ya kadhi inaleta machafuko, na si kwel kwamba bakwata hawaitaki, bali waislam hawaitki kwa sababu ya kuchaguliwa sheria za kuhukumu, tusilete propaganda kwenye ukwel, mbona ktk utawala wa nyerere ilikuwepo, ilileta machafuko gani?
  7. T

    JamiiForums Tanzania New York: Muslim Tenant Beheads Landlord At NYC Apartment

    Hakuna iman inayoruhusu watu kuuana, tuache propaganda za ovyo na kuchafuliana iman
Back
Top Bottom