Recent content by Tajiri wa ubwbwa

  1. Tajiri wa ubwbwa

    Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Ndugu yangu ni lazima apitie veta asugue miaka mitatu, apate cheti ndio aende huko asugue tena mitatu kupata diploma, ndio akasome hio digrii uliyomshauri
  2. Tajiri wa ubwbwa

    Nimebaini mke wangu ana laini mpya

    Story ilipoanza tu kama muelewa ushagundua kitu, number yako ya private ikaita, Ni mke wako ndio alipiga. Aliijuaje hio number yako ya majanga? Mpaka hapo mke wako alishajua uozo wako na umalaya wako, aliamua kufanya hivyo ili akurushe roho na wewe. Ila hata kama anagongwa si na wewe unagonga...
  3. Tajiri wa ubwbwa

    Nimebaini mke wangu ana laini mpya

    Daaah watu mpo live sana [emoji1787]
  4. Tajiri wa ubwbwa

    Naomba kuelimishwa juu ya kozi ya Fitter Mechanics

    Kwa hio hakuna fabricatio na welding?
  5. Tajiri wa ubwbwa

    Naomba kuelimishwa juu ya kozi ya Fitter Mechanics

    Heshima kwenu wakubwa zangu, mimi ni kijana wa miaka 19 nimemaliza kidato cha nne 2023, bahati mbaya sikufaulu kuendelea kidato cha 5, nikaamua niombe kusoma chuo cha veta kozi ya Welding and Fabrication. Baada ya kufanya maombi na mtihani, wamenipangia kusoma FITTER MECHANICS, mimi napenda...
  6. Tajiri wa ubwbwa

    Magonjwa mengine

    Wakati mwingine hii ni dalili ya magonjwa ya moyo, au una mawazo mengi yanayopelekea kuufanya moyo usifanye kazi yake vizuri
  7. Tajiri wa ubwbwa

    Swali: Je Palestina haina jeshi wala polisi?

    Mkuu hao parestina hawawezi kumpiga mu Israel hata wafanyaje, tena sio wao tu, hata waungane na iran, misri, Lebanon, siria na Iraq, washajaribu wakashindwa. Sasa wewe unataka hamas peke yao washindane na jeshi la Israel wataweza vipi?
Back
Top Bottom