Recent content by Tajiri Tanzanite

 1. Tajiri Tanzanite

  Taja adhabu ambayo hauipendi hapa Duniani

  Hapo vip!! Kama kichwa habari kinvyojieleza..tajaadhaby ambayounachukia hapa Duniani..binafsi sipendi kifo.
 2. Tajiri Tanzanite

  Nakohoa kila ikifika saa saba au saa nane usiku

  Hii bado sijaelewa..
 3. Tajiri Tanzanite

  Nakohoa kila ikifika saa saba au saa nane usiku

  Sijawahi mkuu ila sasa itabidi nichukue hatua
 4. Tajiri Tanzanite

  Nakohoa kila ikifika saa saba au saa nane usiku

  Hapo vipi, Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi. Ni takribani miaka sasa ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana, au saa zingine saa saba mchana. Ila masaa mengine nakua nipo sawa kabisa. Wataalam tafsiri yake nini.
 5. Tajiri Tanzanite

  Kwa hili nawashauri wafanyabiashara wakubwa na wakati mgome au muandamane

  Hapo vipi, Siasa chafu matokea yake ni uchumi mchafu na dhaifu. Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali juu ya utashi na uwezo wa viongozi wetu katika swala la kupambanua mambo na uwezo wa kufanya maamuzi bora katika maswaa mbali ya kiuchumi, kisiasa na kijamii, lakini nimegundua Tanzania bado...
 6. Tajiri Tanzanite

  Mkuu wa mkoa Arusha, hivi vibanda vilivyopo barabarani ni sawa?

  Pele watu wananyang'anywa simu mchana wezi wanatokomea kwenye hizo vibanda
 7. Tajiri Tanzanite

  Mkuu wa mkoa Arusha, hivi vibanda vilivyopo barabarani ni sawa?

  Hii miaka minne tunaona kama miaka kumi
 8. Tajiri Tanzanite

  Mkuu wa mkoa Arusha, hivi vibanda vilivyopo barabarani ni sawa?

  Wanasiasa wachafu wanatiharibia sna nchi
 9. Tajiri Tanzanite

  Mkuu wa mkoa Arusha, hivi vibanda vilivyopo barabarani ni sawa?

  Cha msingi hapa wafanyabiashara wakubwa na wao wadai haki wanalipa kodi lukuki alafu mtu anakuja kuweka kibanda mbeleyako alafu anauza bidhaa hizo unazo uzo...maana yake kuuwa biashara kubwa ...mwisho wa siku huyu mfanyabiashara mkubwa atashindwa kulipa kodi ya nyumba na kodi ya serikali...huyo...
 10. Tajiri Tanzanite

  Mkuu wa mkoa Arusha, hivi vibanda vilivyopo barabarani ni sawa?

  Tanzania siasa ni chanzo kikubwa cha umaskini.
 11. Tajiri Tanzanite

  Mkuu wa mkoa Arusha, hivi vibanda vilivyopo barabarani ni sawa?

  Hawa viongozi ni wetu wanatia hasira sana...natamani wafanyabiashara wakubwa waandae maandama nchi nzima..wanalipa kodivalafu mtu anakuja kuweka kibanda mbele yake kiasa kwamba hata mtu akitaka kupaki gari afanye shoping abashindwa.
 12. Tajiri Tanzanite

  Mkuu wa mkoa Arusha, hivi vibanda vilivyopo barabarani ni sawa?

  Hizi siasa za Tanzania .no siasa za njaa sana
 13. Tajiri Tanzanite

  Mkuu wa mkoa Arusha, hivi vibanda vilivyopo barabarani ni sawa?

  Kayafa mambo yake mengi yalikuwa yakukurupuka...sasa hayupo tunaitaji marekebisho.
 14. Tajiri Tanzanite

  Mkuu wa mkoa Arusha, hivi vibanda vilivyopo barabarani ni sawa?

  Kayafa mambo yake mengi yalikuwa yakukurupuka. Sasa hayupo tunaitaji marekebisho.
 15. Tajiri Tanzanite

Top Bottom