Tutamaliza vizazi vyetu vya kesho kwa tamaaa za madereva wa bodabodaa wasiofuata sheria na mamlaka husika kutowajibika ipasavyo, ebu tuamke wakati ni huu !!
wadau huyu mtangazajiwa chanel ten cyprian Musiba ametokomea wapi sijamuona kwenye kipindi cha sport long time au anajipanga kula za maoni ubunge 2015 ?
Tulishuhudia mhe . huyo akitunukiwa Phd toka Mzumbe last week , ingawa inafahamika toka awali kuwa nchimbi tayari alikuwa na Phd ( Ukweli Phd yake tayari ilishafutwa tangu kabla ndio sababu alianza tena kuitafuta) . Wakati akidefende research pepaer yake internal supervisor wake aligoma kumaward...
Huyo dogo ana zaidi ya miezi mitatu yupo muhimbili ICU anaumwa , hali yake si nzuri kabisa, last month hata mh. ****** alipita kukjulia hali MNH na karibu media nyingi zililipoti hali ya huyo dogo, inaelekea wachangiaji wa forum hii wote mnapata updates humu ndani pekee ndio maana hata...
Kenya's TPS Eastern Africa , operator of the Serena Hotels chain, has bought a five-star hotel in the Tanzanian capital Dar es Salaam, giving the chain a presence in one of the region's fastest-growing economies.
TPS said it had acquired the 230-room, five-star Royal Palm Hotel from...
DUUUUUUUU, ujumbe umefika kabisa ila Nepi nafsi yake inamsuta , kikubwa kwake kwa sasa itakuwa ni tumbo tuuu !! Kweli nyumba ya udongo haipigwi deki !!!
Ni suala ambalo linakera sana , ila suruhisho ni kweli katiba mpya inahitajika , kwani bado ni hali ile ile ya uswahiba inaendelea otherwise hao waliopewa ukuu wa mikoa hawana jipya zaidi ni kuunga mkono hoja !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.