Recent content by Taitukalesa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mfalme Mswati amchagua bikira, idaadi ya wake zake sasa ni 14

    Waafrica ni balaa tupu, wakati Mzee mapanki wa NK anamkosesha usingizi mtu Fulani sie ni hapo chini tu tulipotoka ndio mwisho wetu!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mume amtanguliza 'Mgoni' wake akhera baada ya msamaria mwema kumtonya taarifa za kutoka na mkewe

    K kwa hiyo lipi ni afadhali unapoona umekuwa cheated na box manyoya lako, kuua mwanaume mwenzio na kisha kuhitimisha ndoto zako kwa kwenda kula sembe jela na ukiwa na bahati mbaya na wewe wanakuoa huko jela na huku nyuma wanaume wenzio wakiendelea kula hilo libox lako au kujiepusha kwa kutoa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mume amtanguliza 'Mgoni' wake akhera baada ya msamaria mwema kumtonya taarifa za kutoka na mkewe

    Ni uji Ni ujinga kuua mtu kwa ajili ya box manyoya , mbona kitaa mabox manyoya yamejaa hayana hata walaji?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mdada kunuka choo haja kubwa ni kutozingatia usafi au ndo uasilia tu?

    Wewe ungejisikia vipi angeeleza mapunufu yako kama ulivyomfanyia? Hiki ni kipimo cha utoto kueleza mambo ya faragha
  5. T

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

    Bro ukihoji unaweza usile vitu vingi tu, for example it is proven that red meat and goat meat in particular contains purines, which are compounds that create uric acid when they oxidize and ultimately gouts! kwa maana hiyo waambie watu wasile mbuzi basi.
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rare white giraffes filmed in Kenya

    Only two white giraffes? At Katavi National park in Tanzania they are plenty!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume, hamuwezi kumsaidia mwanamke mpaka ufanye nae mapenzi?

    Simple formula: Kula uliwe
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ripoti mbili za kamati teule za bunge leo zimetoa funzo moja kubwa kwa Watanzania, kwamba CCM haipaswi kuwa madarakani

    Tatizo la uchafu huu si la CCM kama chama na wala CHADEMA au CUF si mwarobaini wake wakiiingia nao watatupiga tena mno tu. Leo watanzania tunajidai kumpata Rais tena mwanaCCM ila mzalendo na kupitia yeye tumeweza kujua uchafu huu. Lakini katiba inasema baada ya miaka kumi atapumzika, je...
  9. T

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Profesa Mruma avuliwe Uprofesa, akamatwe na kufungwa jela

    Niliposikia kuwa alikiri kuweka sahihi bila kusoma nilitamani nisikiwe nimesikia sawasawa au msomaji ripoti alukuwa amekosea kusoma. Amemwngusha sana Mh Rais ambaye alikuwa ameanza kuwaamini sana wasomi wa Phd, amewafedhehesha sana wsomi wenzake. Napendekeza wenye Phd na maprof wa ktz undeni...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Utamtambuaje mwanamke ambaye hajafanya tando la ndoa siku nying?

    Halafu asisahau hainaga makombo
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa Kagame, Diane Rwigara apotea katika mazingira ya kutatanisha

    In Africa the majority of Presidents they think that they are demi gods and infallible!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Chang'ombe Dodoma mjini

    Changombe kwa wababe
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msanii Moni kaponda ngoma ya Roma Mkatoliki ya Zimbabwe

    Kweli naye ajilipue
  14. T

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa: Mjane atishia kughalaghala mbele ya rais Magufuli, aamua kumwachia Mungu

    Jonah 2:1-2 From inside the fish Jonah prayed to the LORD his God. [2] He said: “In my distress I called to the LORD, and he answered me. From the depths of the grave I called for help, and you listened to my cry.”
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lipongezwe kwa kutomzika “Bilionea” Arusha (Makala: RAIA MWEMA)

    Kuna wakati mwingine kanisa Katoliki linasimama imara sana. Binadamu amepewa uhuru wa kuchagua aweje au ashirikiane na nani, sasa ikiwa yupo hajashirikiana na kikundi Fulani ya nini kulazimisha kutendewa kama mmoja wa hao watu baada ya kifo? Mie nadhani wanaolalamkika hawamtendei wala kuheshimu...
Back
Top Bottom