Recent content by Tainya

  1. Tainya

    JamiiForums Tanzania Waislam wanapinga RIBA lakini wana Account NMB, CRDB, EXIM Bank etc

    Kama Amana Bank wanachofanya ni trade means Ukitaka kununua gar wao watakununulia na watakuuzia bei yao zen ww kwenye payment utarudisha kidog kidog Riba ni kutoa kitu zen mrejesho wake unataka urejeshewe kitu kile kile but kiongezeke Mfano hata ukitoa debe mmoja la mahind kwa kurudishiwa...
  2. Tainya

    JamiiForums Tanzania Namna Magufuli alivyozungumza kinyume na wenzake kwenye mkutano wa Jukwaa la Afrika

    Mkuu kama sikosei ilo neno ubeberu lipo kwenye vtabu nlivyosoma siyo tusi Kama sikosei kwenye darasa la tano tulisoma mifumo ya maisha miongoni mwao kulikuwa na 1. Ubeberu 2. Ubepari 3. Ukabaila 4. Ujamaa Na mengine mengi
  3. Tainya

    JamiiForums Tanzania Namna Magufuli alivyozungumza kinyume na wenzake kwenye mkutano wa Jukwaa la Afrika

    Mkuu nimekuelewa sana
  4. Tainya

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ulilowahi kulifanya kila ukikumbuka unajuta

    Mkuu hapa tupo pamoja
  5. Tainya

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani kati ya hizi zifuatazo ni nzuri kwa Kuwatesea na hata ikibidi Kuwauwa Wanyama wangu Wasumbufu Nyumbani?

    Mkuu kunasehem kunaitwa idodoma ni mpakani mwa Dodoma na iringa ambapo kunapakana na mto ruaha kunafaa sana Nilipita huko nikakutana na wanyama wazur wametekelezwa na watu wao mi nahisi kunakufaa zaid
  6. Tainya

    JamiiForums Tanzania C+E(3+1)=4, Jamani hizi zinakuwezesha kuchukua degree usiwe na mashaka

    Umeambiwa principal 2 na principal ni kuanzia D
  7. Tainya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko tayari kuoa endapo nitapata mwanamke kama huyu

    Mkuu ukipata wengi nipunguzie na mm
  8. Tainya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi kitovu cha uzembe

    Mim binadam ng'ombe hawez andika mkuu
  9. Tainya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi kitovu cha uzembe

    Duuhh mkuu
  10. Tainya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu sababu ya wanawake kukimbilia bafuni / chooni kunawa chini kabla ya kuduu mara tu muwapo sita kwa sita

    Mbona mitusi imeanza tena
  11. Tainya

    JamiiForums Tanzania MO alipotekwa na Nape alipotolewa bastola Mdude aliwapigania sana mitandaoni, wao hata pole hakuna.

    Jifunzeni kutenda wema pasipo kuhitaji shukran kutoka kwa mwanadam
  12. Tainya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi kitovu cha uzembe

    Daahh jamaa inaelekea unapend msereleko!?
  13. Tainya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi kitovu cha uzembe

    Mkuu namba tena
  14. Tainya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi kitovu cha uzembe

    Pole sana ndugu
  15. Tainya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi kitovu cha uzembe

    Bro we learn from our mistake...
Back
Top Bottom